A Alsina Member Feb 2, 2019 17 11 Feb 2, 2019 #1 Kama una jibu nijuze maana kipindi hiki nimeshuudia nguvu ya spika wa bunge kujifanya super power
NAMKONG'O JF-Expert Member Mar 29, 2014 519 133 Feb 3, 2019 #2 Kwa sasa majibu YA maswali mengi ni magumu kwakweli. Neno kwa mujibu wa sheria, kama linatoweka vile!
Kwa sasa majibu YA maswali mengi ni magumu kwakweli. Neno kwa mujibu wa sheria, kama linatoweka vile!