Hivi Tanzania kuna watu wenye Autism?

Mkuu, ninafikiri autism sio ugonjwa (disease) bali ni disorder.

Tanzania wapo, na husherehekewa kila mwaka tarehe 2 April.

Ni siku ambayo Hospitali nyingi za Rufaa za Kanda huitumia kusambaza uelewa (awareness).
Inaitwa aje hiyo siku kwa Kiswahili?
 
Ati unaokota maneno kwenye majarida 😂 wewe Ukiona Hauelewi ujue haikuhusu. Kwahyo unakuwa na choices 2. Upite kimya kimya km hujaona au uangalie watao comment mbele yko wanasema nn ili ujifunze. Kla thread sio ya kla mtu km huelewi nenda kajadili mada za papuchi na mihogo kule mmu. Sio lazima uchangie kla thread
sasa wewe bwege huu mjadala umeuleta wa nini huku kama hutoi tafsiri kwanza ya ugonjwa wenyewe?
 
Ati unaokota maneno kwenye majarida 😂 wewe Ukiona Hauelewi ujue haikuhusu. Kwahyo unakuwa na choices 2. Upite kimya kimya km hujaona au uangalie watao comment mbele yko wanasema nn ili ujifunze. Kla thread sio ya kla mtu km huelewi nenda kajadili mada za papuchi na mihogo kule mmu. Sio lazima uchangie kla thread
Toa ufafanuzi autism ni nini sio unajichelesha ka bar maid kaona bia.
 
Autism au kwa kiswahili Usonji, ni tatizo la kihisia linalotokea kwa watu tangu utotoni na kuathiri uwezo wao wa kuwasiliana na watu wengine. Watu wenye matatizo ya autism hawaonekani kama watu wa kawaida.

Muda mwingine hawapendi kuwaangalia wengine pale wanapozungumza nao, au hawapendi kushirikiana na watu. Pia, hawapo vizuri katika kimawasiliano.
Hawa ndo badae wanakuwa introverts?
 
Hawa watoto ukiwachunguza vizur huwa wamebarikiwa vipaji sana, sema jamii zetu bado hazina ufaham na elim ya kitosha juu ya hali hii ya usonji
 
Tanzania kuna watu wenye huu ugonjwa wa autism?

Mimi sehem naishi nimewahi kukutana nae mmoja ila sijawahi kumuona mtu mwenye autism wakati nipo Tanzania. Hivi wapo kweli au ndio wanawekwa kwenye kundi la watu wenye ugonjwa wa uchizi?

Japo huwa sio machizi ila ukiwaona kwa mara ya kwanza hasa wakiwa wadogo unaweza ukadhani ni chizi kutoka na tabia zao. Lakini baadhi yao huwa wanakuwa na vipaji na uelewa wa hali ya juu kwa baadhi ya mambo lkn tabia zao zinakuwa tofauti na watu wa kawaida, mtu unaweza ukadhan ni chizi.

Hivi watu kama hawa wapo Tanzania? Hospital au jamii inafaham uwepo wa huu ugonjwa? Au ndio huishia kupewa dawa za wagonjwa wa akili wakidhaniwa ni wagonjwa wa akili?
hao si ndo mazonji
 
Yupo nimjuae kbsa tena imesababishwa na bangi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo si kweli. AUTISM haisababishwi na bangi.

BAAHI YA DALILI ZA MTOTO MWENYE AUTISM

1) Majority ya watoto wenye autism huwa wanachelewa kuongea,
2) Hawawezi kukaa chini kutulia wakikaa wana jitingisha kwenda mbele na nyuma,
3) Hawawezi kula vitu vigumu kwahiyo wachaguzi sana kwenye chakula, wanapenda kuruka na kuzunguka yaani wako kwenye movement all the time,
4) Hawawezi kulala muda mrefu,
5) Hawachezi kama watoto wengine yaani mfano toy ya gari hawataendesha watachezea vingine tofauti na watoto wengine,
6) Wengine wanapiga kelele,
7) Wengi huwezi kujua kama wana disability kwa kuwaangalia kwa nje,
8) Hawana marafiki,wengi wanapenda kucheza wenyewe au watu wazima na sio watoto wenzao,
9) Wanachelewa kuandika,
10) Wengine hawapendi kelele, hawapendi nguo za aina fulani, hawapendi kugushwa,
11) Wengine hawawezi kuonyesha emotions zao,how they feel about something,
12) Hawaelewi vichekesho kwa kuwa wanaelewa kitu kama kilivyo tu - hii inaonekana sana kwa watu wenye autism wakubwa.

Hizi ni dalili main,SIO KILA MTOTO MWENYE AUTISM ANAKUWA NA DALILI ZOTE, WENGINE ZOTE NA WENGINE WANAKUWA NA BAADHI YA HIZI.
 
Hapa jirani yangu kuna mtoto hurusha mawe juu ya bati ya nyumba yangu, wazazi wake waliwahi kumpeleka shule mwl akasema tahira, anakuwa pekee muda mwingi kiasi tumeamini ni Usonji nimewafariji wazazi wake kwamba huyu mtoto huenda akaja kuinua family yenu kwakuwa watoto mfano wake huja kuwa tunu endapo wataendelezwa
 
Autism ni usonji kwa kiswahili. Inasemekana hata tirampu anao. Wengine wanasema hata huyu wa hapa vilevile.
NI genetic disorder hususani kwenye akili ya mtu inayohusisha poor reasoning. Yani mtu anafanya decision za ajabu halafu yeye anaona yupo sawa tu.

Utotoni mtu mwenye usonji anaweza kuwa chakaramu kupitiliza Yani ile yenye kukera au mwoga kupitiliza ambaye hawezi hata kukaa na watu yaani anaogopa watu hata kivuli chake. Wengine wanafikia hatua hata ya kujidhuru mwili kwa kujibamiza ukutani au kujing'ata vidole. Yaani ni watu wa tafrani.
Wakiwa wakubwa Sasa ndio wanakuwa watata, wenye kibri kupitiliza, jeuri ila deep down NI waoga Sana wanaojificha kwenye vivuli vyao.

Sent using Jamii Forums mobile app
apo mwanzoni umeongea maharage matupu, huwez kustick kwenye point mpk utaje watu,?? nenda kaflash akili yako ina usonji
 
Back
Top Bottom