Fohadi
JF-Expert Member
- Jul 24, 2020
- 770
- 2,408
Nimeingia getto muda sio mrefu, nikaona ngoja niweke mawingu fm nisikilize michezo extra..Nakuta ndo kwanza kipindi kinaanza...Moja ya mechi walioiongelea ni game ya Namungo na Raja casablanca na Namungo amepigwa sijajua goli ngapi.
Hoja za wachambuzi wa mawingu fm wanasema NAMUNGO imebebwa na Inshu ya Corona na wanasema timu haikustahili kuingia hata hatua ya makundi...Nimesikitika sana kwa kauli zinazobadilika kama vinyonga.
Hao hao wachambuzi few weeks ago walikuwa wanaisifu Namungo kwa kujiandaa vyema kimwili na kisaikolojia kiasi kwamba imefanya vizuri raundi za kwanza hadi kufuzu makundi...Ila leo timu ipo kwenye form mbaya wanasema haikustahili hata kufika ilipofika na imebebwa na corona.
My Take: Wachambuzi wanabadilika kulingana na matokeo...Juzi wameisifu Namungo kwa maandalizi mazuri ya kimataifa halafu leo wanasema timu haikustahili kufika ilipofika eti imefika hapo kwa mbeleko ya Covid..NONSENSE!!!1