Hivi Tanzania kuna wachambuzi wa soka au wafata upepo?

Fohadi

JF-Expert Member
Jul 24, 2020
653
1,000
Nimeingia getto muda sio mrefu, nikaona ngoja niweke mawingu fm nisikilize michezo extra..Nakuta ndo kwanza kipindi kinaanza...Moja ya mechi walioiongelea ni game ya Namungo na Raja casablanca na Namungo amepigwa sijajua goli ngapi.

Hoja za wachambuzi wa mawingu fm wanasema NAMUNGO imebebwa na Inshu ya Corona na wanasema timu haikustahili kuingia hata hatua ya makundi...Nimesikitika sana kwa kauli zinazobadilika kama vinyonga.

Hao hao wachambuzi few weeks ago walikuwa wanaisifu Namungo kwa kujiandaa vyema kimwili na kisaikolojia kiasi kwamba imefanya vizuri raundi za kwanza hadi kufuzu makundi...Ila leo timu ipo kwenye form mbaya wanasema haikustahili hata kufika ilipofika na imebebwa na corona.

My Take: Wachambuzi wanabadilika kulingana na matokeo...Juzi wameisifu Namungo kwa maandalizi mazuri ya kimataifa halafu leo wanasema timu haikustahili kufika ilipofika eti imefika hapo kwa mbeleko ya Covid..NONSENSE!!!1
 
Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
40,058
2,000
Mkuu mbona unajifanya umesahau kwani watanzania mambo yetu si ndivyo hivyo yalivyo hata mitaani kwetu.
 
Said Cosmetics

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
1,603
2,000
Nimeingia getto muda sio mrefu, nikaona ngoja niweke mawingu fm nisikilize michezo extra..Nakuta ndo kwanza kipindi kinaanza...Moja ya mechi walioiongelea ni game ya Namungo na Raja casablanca na Namungo amepigwa sijajua goli ngapi...

Hoja za wachambuzi wa mawingu fm wanasema NAMUNGO imebebwa na Inshu ya Corona na wanasema timu haikustahili kuingia hata hatua ya makundi...Nimesikitika sana kwa kauli zinazobadilika kama vinyonga.

Hao hao wachambuzi few weeks ago walikuwa wanaisifu Namungo kwa kujiandaa vyema kimwili na kisaikolojia kiasi kwamba imefanya vizuri raundi za kwanza hadi kufuzu makundi...Ila leo timu ipo kwenye form mbaya wanasema haikustahili hata kufika ilipofika na imebebwa na corona.

My Take: Wachambuzi wanabadilika kulingana na matokeo...Juzi wameisifu Namungo kwa maandalizi mazuri ya kimataifa halafu leo wanasema timu haikustahili kufika ilipofika eti imefika hapo kwa mbeleko ya Covid..NONSENSE!!!1
Wale wanatafuta cha kusema tu ili kipindi nacho kiendo coz wanajua kuna watu wanafatilia kipindi chao.
 
Gwele

JF-Expert Member
Jun 7, 2016
1,239
2,000
Kwamba wanaposema corona mtoa mada hujui Namungo amepita pita vipi kuingia hatua hiyo dhidi ya De Agosto?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom