Hivi Tanzania kuna mgao wa umeme?

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
21,237
34,185
Tunajua kwamba DAWASA wametangaza kwamba kuna mgao wa maji hili sina shaka nalo!

Je, TANESCO wamesha tangaza kuna mgao wa umeme? Maana siku nzima ya leo umeme hakuna!

Kama kuna anajua tafadhali nijulishe na pia nipatie ratiba ya mgao!!

Hivi kweli miaka 60+ ya uhuru umeme na maji bado ni shida daaah!
 
Tunajua kwamba DAWASA wametangaza kwamba kuna mgao wa maji hili sina shaka nalo!

Je TANESCO wamesha tangaza kuna mgao wa umeme? Maana siku nzima ya leo umeme hakuna!

Kama kuna anajua tafadhali nijulishe na pia nipatie ratiba ya mgao!!

Hivi kweli miaka 60+ ya uhuru umeme na maji bado ni shida daaah!

D12EEE82-41B0-442B-9C6E-975971E391CF.jpeg
 
Mwanza mjini kila siku iendayo kwa Mola lazima ukatike! Jana wamekata usiku, siku nyingine huwa mchana! Sijui Jamaa wanashida gani!
 
Back
Top Bottom