Ally Mussa Ndimbo
Member
- Apr 26, 2014
- 25
- 21
Naomba niulize jamani hivi hapa Tanzania kuna hackers kweli au ni wale script kiddies.? Nashindwa kuelewa jamani...
Wameshindwa kuhack jamiiForumsHakuna hackers kuna ushuzi tu. wameshindwa kuhack google na kuonyesha loopholes wajipatie mipesa, wanahack college sites eti
Ndiyo mnapokosea wengi wenu mnafikiri kila mtu yuko after money!Hakuna hackers kuna ushuzi tu. wameshindwa kuhack google na kuonyesha loopholes wajipatie mipesa, wanahack college sites eti
kuhack ni kuhack tu haijalishi unahack nini?Hakuna hackers kuna ushuzi tu. wameshindwa kuhack google na kuonyesha loopholes wajipatie mipesa, wanahack college sites eti
Huyo ndio hacker no 1 Tz. Tena ame hack chini ya ulinzi... Polisi 10 hivi na STK juu.Huwaoni akina Dr Luis shika
Hahaaaa auction hackersHuwaoni akina Dr Luis shika
Hackers wanafanya kazi zao benk.... ila inakuwaga siri za benksWaulize CRDB,NMB na benki nyenginezo watakuwa na jibu zuri la kukupa.
Ndo hicho nachokisema,washkaji kibao wamepiga hela benki tena mamilioni kwa mamilioni,ni sababu tu benki huwa hazitangazi hayo matukioHackers wanafanya kazi zao benk.... ila inakuwaga siri za benks