Hivi Tanzania kuna Benki ina offer Credit Cards badala ya Debit Cards zilizozoeleka?

Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
12,155
31,104
Nina shida na credit card kuna mtu yeyote anayejua ni benki gani wanatoa credit cards badala ya debit cards?
 
Back
Top Bottom