Hivi Tanzania kufuga farasi inahitajika kuwa na kibali?

Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
12,156
31,028
Hivi mtu akitaka kufuga farasi anahitaji kibali au tu unafuga tu kama unavyofuga mbuzi?
 
Kibali gani, kwani farasi ni wanyama pori Hadi ukatafute kibali?
Nimeuliza mkuu, hivi unajua ukichinja ng'ombe ukamchuna ngozi ukataka kuisafirisha mpaka upate kibali wizara ya mifugo, hivi unajua ukichukua kipande cha mti ukachonga kinyago ukitaka kukisafirisha nje mpakaa uchukue kibaki maliasili?
Hivyo nidyo maana nimeuliza maana nchi hii ina vibali vingi mkui
 
Mazao yeyote ya msitu na yasiyokuwa ya msitu, ulitaka kuyauza nje sharti upate kibali. Wewe umeuliza kufuga farasi sio kuuza ngozi yake au nyama yake nje ya nchi. Sasa Kama kufuga kwako kutahitaji farasi uwatoe nje ya nchi, hapo kumbuka utahitaji kibali kuwaingiza. Hii ni pamoja na certificate of health kudhibiti vimelea vya magonjwa toka nchi moja kuja hapa. Kufuga unataka kibali gani? Mbona watu wamefuga punda Kule singida Wana vibali?
 
Farasi mwenyewe anauzwa sh ngapi na lazima ufuge pacha ?

Hivi ,farasi jike akipandwa na dume la ngombe kitazaliwa kitu gani?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom