Hivi tanzania ina mpango gani na hawa vinara? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi tanzania ina mpango gani na hawa vinara?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nziriye, Mar 1, 2011.

 1. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 951
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Of course ni vyema kutambua na kuwapa sifa zao wanao stahili sifa ,kuna thread imeanzishwa ya kumpongeza dada mmoja aliyepata matokeo mazuri ya chuo kikuu pale mlimani,na mie nauliza hv serikali inatambua mchango wa hawa vinara au vipi?MARTIN CHEGERE pia ni mmoja wa wahitimu wa shahada ya kwanza ya ktk UCHUMI ,Lakini historia yake inasema alikuwa kinara matokeo ya PRIMARY SCHOOL,O-LEVEL akapata Div 1-7,na A-LEVEL akapata Div 1-3 na chuo GPA 4.9 na sasa anaunganisha kusomea MASTERS ,huyu ni mmoja kati ya vinara wengi ambao wapo ktk vyuo vyetu mbalimbali nchini na nje ya nchi,je hivi NCHI yetu huwa na mipango gani na watu kama hawa ktk kuendeleza nchi yetu .
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 9,918
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Chegere ni noma bwana..hao matanzania 1 wengne cjui huwa wanapotelea wap,bt kwa chegere amedhihirisha hadi chuo kikuu kuwa yey ni tanzania 1.
   
 3. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,291
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  bonge la mtu.
   
 4. f

  fazili JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,069
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 180
  Ukweli ni kwamba hawa watu wanofaulu hivyo hawana lolote la maana inapokuja kwa utendaji. Nawafahamu wengi tu wa namna hiyo wanapomaliza masomo na kuingia kazini hakuna lolote wanalofanya kuwashinda wale wenye madaraja ya chini

  Ni ajabu lakini ni ukweli ambao watu wengi hawafahamu. akili za mwanadamu ni complex sana, mtu anaweza kuwa mkali sana darasani lakini ukimleta kwenye utendaji ni hopeless kabisa.

  Nimesoma na watu wa namna hiyo mimi japo nimefaulu kwa kiwango cha juu ya wastani, nikijilinganisha nao nashangaa kwa jinsi walivyo nyuma kiuwezo wa kutenda na kubaki kupenda kukaa ofisini na kujivunia vyeti vya form 4 wakati walishamaliza chuo miaka 7 iliyopita!
   
Loading...