Hivi Tanzania au Afrika Mashariki kuna chuo kinafundisha masuala ya teknolojia ya nyuklia?

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,889
Eti kuna chuo cha mambo ya nyuklia? Vipi katika Afrika. Kuna chuo kinafundisha masuala ya Nyuklia?
 
Tunayo Uranium kule mbuga ya Selous na Bahi ila sijasikia chuo cha kufundisha mambo hayo.
 
Back
Top Bottom