Red Giant JF-Expert Member Mar 9, 2012 15,658 20,889 Sep 13, 2021 #1 Eti kuna chuo cha mambo ya nyuklia? Vipi katika Afrika. Kuna chuo kinafundisha masuala ya Nyuklia?
P pembe JF-Expert Member Nov 4, 2010 2,128 701 Sep 13, 2021 #4 Tunayo Uranium kule mbuga ya Selous na Bahi ila sijasikia chuo cha kufundisha mambo hayo.