Hivi tanesco ni idara ya serikali au shirika la umma? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi tanesco ni idara ya serikali au shirika la umma?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Byendangwero, Jan 8, 2011.

 1. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nijuavyo mimi, TANESCO kama shirika la umma, ina bodi yake ya wakurugenzi; na ni bodi hiyo ambayo ilistahiri kushughulikia hili suala la malipo ya Dowans. Serikali ilitakiwa kukaa kando mpaka wakati itakapokuwa imeombwa msaada na bodi hiyo. Kitendo cha baabhi ya viongozi waandamizi serikalini, kujitokeza wazi wazi kutetea malipo hayo bila ya kuombwa na bodi, ni ishara tosha kuwa viongozi hao wana maslahi binafsi katika suala hilo.
   
Loading...