Hivi TANESCO na Tanga Cement kunani lakini?

Tatizo hapa ni kwamba,wakati wa mngmt ya netgroup ,makaburu kwa makaburu walishirikiana ku-bypass meter,yaani waliiba hapo ndipo issue ilipo mengine hayo ni njia za kisiasa za kuliweka hilo jambo.TC ni wezi wafungwe!!!

Huree !!!!! Dr. Idris
 
Mkuu,

Hivi hawa Tanesco inawezekana hawajui hilo unalojua wewe, kuwa wali-by pass connection ya umeme na kuiba? NetGroup waliondoka karibu mwaka sasa umepita. Kama ni hivyo, hilo ni kosa, lakini Mbona walioibiwa hawaongelei? Tusaidie proof au source ya hiyo info.
 
its sound fun!!!, they claim to be paying more than 400m per month,wana deni la 49m tuu!!,then tunawakatia umeme.. thats fine ila kwa wataalam wa ''cost benefit analsis'' is it rational?,ivi unataka kunambia hakun asasi zingine[tena za kiserikali] zinazodaiwa more than that?!!,quite economist!!!!!!!!!!!
 
Dar Si Lamu,

Mwambieni huyo Rashid, watu wamelipia meter miezi na miezi mpaka
sasa wanasota bila umeme, kisa hakuna 3 phase meters, why?

Watengenezaji wa hizo mete wamekufa? Si watoe tender tu na kununua hizo meter?

Mambo mengine hayahitaji hata kuwa mchumi au kusomea management kujua namna ya kuya handle.

kabla ya kufikiria kupandisha umeme, watatue kwanza matatizo ya customers wao.

Wanachukua pesa za watu na miezi sita hakuna huduma, wao mteja hajalipia umeme wiki, wanakata huduma, usawa uko wapi hapo?

..nadhani we ndio uko karibu nae zaidi!joking!

..matatizo ya tanesco hayakuanza leo na hayatakwisha mapema pia!

..unayoyasema yametokana na miaka zaidi ya 30 ya neglect!and carelessness!

..tuombee mema,zaidi ya hapo sioni solution!
 
Mimi naona kuna huyo Idris anataka tu ujiko. Mara anang'ngania kupandisha bei mara awakatie wateja wake wakubwa umeme bila sababu ya msingi ,mara akurupuke Tanga Cement hawajalipa kumbe wamelipa and all that.

Idris do you know what it means by substantial custmer? You can talk and negotiate with your big costomer. usitushirikishe ujinga kwa kutangaza magazetini eti unamdai 49M. mbona hiyo ni asilimia kumi tu ya billi ya mwezi?

Yaani alijiuzulu kwa kushindwa kuongea na mteja wake au alikuwa na jingine? maana hii Bongo bwana Mtu akiona hajasikika anaibua jambo.Sasa magazeti yanaandika Idris , Idris etc etc lakini sio priority. Priority ni hili " Idrisa aamua kupandisha gharama za Umeme bila kibali"
 
Hii ndiyo management tuliyozoea! Populist na ubabe. Nilishasema awali ni kawaida ya Tanesco kukubambikia bill na kukwambia kuwa lipa kwanza ndiyo tujadiliane. Samahani lakini naona wengi wetu bado tunapigana vita tuliyoishinda miaka 46 iliyopita. Tunamtetea Idris kwa sababu tu ni mswahili mwenzetu dhidi ya hao waliowahi kututawala. Mteja mkubwa sehemu yeyote duniani anaheshimiwa. Si huku kupanda majukwaani na kutoa vitisho visivyo na msingi. Sasa akikata umeme, atakayefaidika nani? Mimi sitashangaa hawa mabwana watakapoiburuta Tanesco mahakamani kwa kutofuata mkataba( soma taarifa ya boss wa Tanga Cement) na Tanesco kuamriwa kulipa mabilioni. Tumeona yakifanyika Mwanza, IPTL n.k. Hamna jipya hapa, ni kutafuta umaarufu tuu. Na sasa bodi imenyamazishwa ndiyo tutakoma kabisa. Kwa vitendo hivi kweli tunategemea kuvutia wawekezaji wa maana? Disputes ni kawaida ya mikataba na zina njia ya kuzitatua lakini sio hivi. Bora angeenda.

Hakuna anayekataa hili,lakini hatutaki mteja mkubwa aliyemwizi(kwa nini avunje seal ya meter??)Yeye product yake anaiuza cash kwa nini asilipe huduma anayopatiwa in time.By the way kuwa mteja mkubwa hakukupi rights ya kufanya utakayo bwana.
Mambo ya kubembelezana hatutaki.Ndo haya ya JK kuendelea kuwaonya watu wanaotuibia
 
Mimi naona kuna huyo Idris anataka tu ujiko. Mara anang'ngania kupandisha bei mara awakatie wateja wake wakubwa umeme bila sababu ya msingi ,mara akurupuke Tanga Cement hawajalipa kumbe wamelipa and all that.

Idris do you know what it means by substantial custmer? You can talk and negotiate with your big costomer. usitushirikishe ujinga kwa kutangaza magazetini eti unamdai 49M. mbona hiyo ni asilimia kumi tu ya billi ya mwezi?

Yaani alijiuzulu kwa kushindwa kuongea na mteja wake au alikuwa na jingine? maana hii Bongo bwana Mtu akiona hajasikika anaibua jambo.Sasa magazeti yanaandika Idris , Idris etc etc lakini sio priority. Priority ni hili " Idrisa aamua kupandisha gharama za Umeme bila kibali"

Haya ndo matatizo yetu Watanzania.Mtu akiwajibika ipasavyo anaambiwa ujiko.Huyu bwana kaingia na kukuta ndani kuna matatizo na mojawapo ni wadaiwa sugu. Mmoja kati ya wadaiwa sugu ni mwanzo ameanza kulipa 49m na consumption yake bado ni ileile ya mwanzo.Si lazima uanze kumchunguza then unagundua seal ya meter haipo na anajua hana ruhusa ya kutempa na mita in any circumstance.
 
Huyu bwana kaingia na kukuta ndani kuna matatizo na mojawapo ni wadaiwa sugu. Mmoja kati ya wadaiwa sugu ni mwanzo ameanza kulipa 49m na consumption yake bado ni ileile ya mwanzo.Si lazima uanze kumchunguza then unagundua seal ya meter haipo na anajua hana ruhusa ya kutempa na mita in any circumstance.

Nyangumi,

unapotoka mkuu, usome thread na ushahidi wa statements za TCC na Tanesco zilizopostiwa nyuma kwanza...utagundua unachotakiwa kujua hadi hapa.
 
Haya ndo matatizo yetu Watanzania.Mtu akiwajibika ipasavyo anaambiwa ujiko.Huyu bwana kaingia na kukuta ndani kuna matatizo na mojawapo ni wadaiwa sugu. Mmoja kati ya wadaiwa sugu ni mwanzo ameanza kulipa 49m na consumption yake bado ni ileile ya mwanzo.Si lazima uanze kumchunguza then unagundua seal ya meter haipo na anajua hana ruhusa ya kutempa na mita in any circumstance.

Mdaiwa sugu? Hata Tanesco hawajamweka TCC kwenye kundi hili? Au mwenzetu una info za ziada ambazo hazijatolewa magazetini?
Sijakuelewa, consumption ipi unayoizungumzia?
 
..fundi na mbalamwezi!

..nadhani hili la kuhusu dr.rashid lishaanza kuchosha!mnaonaje tukiendelea na suala la nini kimetufikisha hapa leo hii kwenye sekta ya umeme!?

..mfano,kulikuwa na busara gani miaka ile ya kutokulipa bill za umeme katika sekta ya umma,ilihali watu wakijua kuwa hamna chombo kinachoweza jiendesha bila budget ya shughuli za kila siku na matengenezo ya miundombinu yake!

..je,ni busara kuendelea kuacha miundombinu ya usambazaji umeme ikichakaa bila kufunga mipya mara kwa mara!

..je,huu ndio uwezo wetu wa kuzalisha na kusambaza umeme au tunazembea!na uzembe huu unatokana na nini kama tunasema tunataka kupaisha ndege ya uchumi?

..je,maendeleo ya kweli,hasa mikoani,na maisha bora kwa kila mtu,yatapatikana bila umeme wa uhakika na wa kutosha?

..na mengine mengi!
 
Kinachoiua Tanesco ni kile kile kilichoua mashirika na makampuni kadhaa wa kadhaa tuliyokuwa nayo miaka hiyo...hadi ikalazimika tuyauze au tuyabinafishe. Hatukuwa na utashi wa kuyandesha kibiashara, huku tukijua ni ya biashara. Hakuna kingine cha ajabu.

Political interference and lack of willingness to trust our proffessionals is another major obstacle. Huku ni kupuuza priorities za maendeleo ya waTanzania.

Kusingekuwa na sababu ya kushindwa kubalidisha miundombinu kama mitambo ya shirika ingetakiwwa mipya, maana lingekuwa linajiendesha kifaida, kama taasisi za serikali zingeacha dharau na zingelipa ankara za umeme...kama wanatengewa bajeti kwa ajili ya bill za umeme, why hawalipi kama si dharau ya kisiasa?

Mfano, mwaka 2000 ilionekana kuwa serikali ilikuwa inakopesha Tanesco pesa kwa riba ya 8 per cent...wakati huo yenyewe imepewa na IDA kwa 2 per cent...kama Tanesco inabanwa kujiendesha kibiashara, kwa nini wawafiksi namna hii?

Hali hii tunaiitaje? hujuma? Hii inakamilisha dhana kuwa bacground yetu ya ujamaa ina heavy negative consequences kwenye future yetu. Hatuwezi kuwa kwenye globalization tukiwa katika mentality hii ya kushindwa kufanya kila kitu, na kutaka tu tuwape wageni wafanye. Baaaasi! Tutabinafsisha hata wananchi wenyewe sasa!
 
NATANGAZA TATIZO;
HAtuna viongozi walio committed na wenye uzalendo. Tuige mfano wa GhanaEnzi za akina Jerry Lawlings. Nji hii iko rotten, na ninaanticipate kwamba muda si mrefu viwanda vyote vya tanzania vitatakiwa viendeshwe kwa GENERATORS. Hapo ndio mwisho wa kukua kwa uchumi wa tanzania na kuanguka dola ya kizalendo. Refer the cases of falling nigeria na progressed ghana.

Worse still, American congressmen have cautioned that Nigeria is on the verge of collapse and disintegration. In the last twelve months, some conglomerates have closed their plants in the country and relocated to Ghana. Among them are Dunlop and Mitchelen Plc. Only recently, more companies have informed the general public they would soon be folding operations in Nigeria to resettle in Ghana. The excuse of these companies is the same, energy crisis and political instability. Nigeria's inability to stabilize the energy sector is the cause of her dwindling fortunes.

In the Interview of an Indian citizen Mr. Mahesh Bansal, a chartered Accountant and International Business Consultant based in Ludhiana, Punjab State in the Sun Newspaper by this same writer, and published Monday, July 12, 2009, he drove the nail straight into the wall. Hear him: "The whole world knows that the single point deficiency in Nigeria today is the electricity problem. And this is shameful for a country of Nigeria's size, and status. Once Nigeria overcomes the problem, thousands and thousands of other problems will be automatically solved. Nigeria cannot run an efficient industrialization with the absence of electricity. There's no nation in the world that has ever made it with generators".

Ft Lieutenant Jerry Rawlings Liberated the west African country from militarism, mis-governance, economic paralysis, hunger, and perpetual doom when he publicly executed the likes of Gen. Afriffa, Gen Akuffo, Gen Acheampong, and all those who plunged Ghana into untold hardship. Today, Ghana is laughing loud and thankful to God for using J.J to emancipate the country.
 
Back
Top Bottom