Ukimkuta mtu anashabikia ccm basi ujue kuna moja kati haya mawili:
1. Huyo mtu ni mwizi na anafanikisha wizi wake kwa ulinzi wa ccm;
au
2. Huyo mtu ni zuzu.
Monaban yupo kwenye kundi la 1.
Na bado nyundo nyingine tena tano (5), tutaona mengi awamu hii.
Bidhaa zake kwa kiasi zilinitoa kwenye msato zilikua na gharama pia na faida,,,
Sent using Jamii Forums mobile app
YAA