HIVI TABIA HII BADO IPO?

suri

JF-Expert Member
Apr 9, 2012
404
260
Habari wakuu,

Hapo awali kabla magojwa yanayosababishwa na ngono zembe kuwepo kwa wingi, kulikuwa na tabia hii hapa...

'Mwanaume anatongoza msichana na akikubaliwa, wanaanzisha mahusiano ambapo mwisho wa siku wanakuja kujamiiana. Mara ya kwanza ya tukio watavaa kinga na mara ya pili pengine na ya tatu, baada ya hapo "wanatembelea rim" kwa madai kwamba wameshazoeana. Wengine siku hiyo hiyo watafanya na kinga round one na zingine zinazoendelea wanapiga vyombo vitupu'

Ndio nauliza hapa, bado kuna watu wanaendeleza haka katabia? Wale wazee wa emergency kwani mnasemaje?
 
Matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa

Uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii

Njoooniii huku njoooniii huku njoooniii huku njoooniii huku njoooniii huku njoooniii huku
 
mkuu vp imekolea
 
Mbona
 
Wengine hata mara ya kwanza hawavai kinga. Mrembo anakwambia hapendi ndom na wewe ndiyo ushamfeel. Utaingia mitini?
Habari wakuu,

Hapo awali kabla magojwa yanayosababishwa na ngono zembe kuwepo kwa wingi, kulikuwa na tabia hii hapa...

'Mwanaume anatongoza msichana na akikubaliwa, wanaanzisha mahusiano ambapo mwisho wa siku wanakuja kujamiiana. Mara ya kwanza ya tukio watavaa kinga na mara ya pili pengine na ya tatu, baada ya hapo "wanatembelea rim" kwa madai kwamba wameshazoeana. Wengine siku hiyo hiyo watafanya na kinga round one na zingine zinazoendelea wanapiga vyombo vitupu'

Ndio nauliza hapa, bado kuna watu wanaendeleza haka katabia? Wale wazee wa emergency kwani mnasemaje?
 
Ifikie hatua tujifunze kuwa na msimamo hasa ukijitambua no condon kwa mpenzi mpya no mapenzi ndugu zangu hakuna kitu kibaya kuishi kwa hofu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom