HORSE POWER
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 2,212
- 1,552
Habari wanajf!
Inaweza kuwa ni swali la kipuuzi lakini ni vyema tukahabarishana kwani jf ni uwanja wa hoja,elimu,habari na tafiti.
Naomba kufahamu juu ya taasisi hizi mbili;EOTF ya Mama Anna Mkapa na WAMA ya Mama Salma Kikwete,je zipo?