Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 2,580
- 4,262
Kuna waendesha pikipiki wengi ikifika jioni/usiku huendesha pikipiki wakati wamesha taa kali sana. Wengine hubadilisha taa halisi na kuweka mwanga mkali sana kwa watumiaji wengine wa barabara
Huwa najiuliza:
Hivi hizi pikipiki hazina sehemu ya kupunguza mwanga wa taa?
Kimsingi ni hatari sana kwani ukimulika muendesha gari kwa taa kali sana, kama hayuko vizuri sana ujue kuna mawili, akufuate au akwepe pembeni
Ila kukwepa pembeni sio rahisi sana kwani anakuwa haoni tena pembeni hivyo (hunjoosha tu liwelo na liwe) inamaana, mwenye pikipiki anajiongezea nafasi ya kusabaisha ajali kwa kujua au kwa kuto kujua