Hivi Sugu mbona haongelewi na wanachadema baada ya kugonga na kuua?

Makusudically

JF-Expert Member
Feb 3, 2014
2,201
1,232
Sugu alimgonga na gari mtoto yatima tena kwenye pundamilia na kumuua kabisa, lakini Wanachadema hawaongelei kabisa unyama huu wamekomaa na suala la Lissu tu. Jamani tuelezeeni kesi inaendeleaje? Nijuavyo mimi kwenye Zebra crossing ukigonga ni jela tu. Mbona huyu jamaa yuko nje?
 
Wanajua kupinga tu. Sasa wakimpinga Sugu watakuwa wanajipinga wenyewe. Na huu uzi watauona kama jela hivi.
 
sugu yupo mitandaon anapiga porojo na mzazi mwenzie faiza, mwanamke anachafua hali ya hewa mh mbunge anajitokeza kujisafisha, Mara ya mwisho ilikua ada ya mtoto, watu wa mbeya walikosea sna
 
Sugu alimgonga na gari mtoto Yatima tena kwenye pundamilia na kumuua kabisa, lakini Wanachadema hawaongelei kabisa unyama huu wamekomaa na suala la Lisu tu. Jamani tuelezeeni kesi inaendeleaje? Nijuavyo mimi kwenye Zebra crossing ukigonga ni jera tu. Mbona huyu jamaa yuko nje?

kwa hiyo wazazi wa huyo mtoto aliyegongwa na Sugu ndio wamekuja kulipiza kwa kumpiga Lissu risasi? Hii ni hoja au upuuzi?
 
Jamaa kazi yao kuona makosa ya wenzao, yao hata hawajui kama ni makosa. Hii kitu angefanya mbunge wa CCM ungesikia mara oooo! Jeshi la Polisi halitendi haki.... Mara Mahakama haitendi haki.... sijui nini.......
 
Tunamngoja "mtoto-njiti" (asiye-TULIA ACKSON) aje atie maguu jimboni ndo tumzungumzie...
Kwasasa jimbo liko salama,wacha tujadili ya Lissu kwanza!
 
Sugu alimgonga na gari mtoto Yatima tena kwenye pundamilia na kumuua kabisa, lakini Wanachadema hawaongelei kabisa unyama huu wamekomaa na suala la Lisu tu. Jamani tuelezeeni kesi inaendeleaje? Nijuavyo mimi kwenye Zebra crossing ukigonga ni jera tu. Mbona huyu jamaa yuko nje?
Ulikuwepo eneo la tukio wakati ajari inatokea? Na kama ulickia, hv alokusimulia hyo habari alikuambia Sugu ndo alikuwa anaendesha hyo gari au yy alikaa kushoto? Kama uliambiwa alikaa kushoto, inakuwaje Sugu amgonge huyo mtoto ingali hakuwa akiendesha yy?

Kama hukuwa na taarifa kamili za hyo ajari, wafuate wenye taarifa kamili, ili uje upya na uzi wako.

Kuna tofauti kati ya sugu kumgonga mtoto na gari ya Sugu kumgonga mtoto. Kama sugu alikaa kushoto bhasi aliyemgonga mtoto cyo sugu bali Dereva wa Sugu na wakushtakiwa ni Dereva.
 
Jamaa kazi yao kuona makosa ya wenzao, yao hata hawajui kama ni makosa. Hii kitu angefanya mbunge wa CCM ungesikia mara oooo! Jeshi la Polisi halitendi haki.... Mara Mahakama haitendi haki.... sijui nini.......
kichacka cha wajinga
sugu yupo mitandaon anapiga porojo na mzazi mwenzie faiza, mwanamke anachafua hali ya hewa mh mbunge anajitokeza kujisafisha, Mara ya mwisho ilikua ada ya mtoto, watu wa mbeya walikosea sna

Wanajua kupinga tu. Sasa wakimpinga Sugu watakuwa wanajipinga wenyewe. Na huu uzi watauona kama jela hivi.

Sugu alimgonga na gari mtoto Yatima tena kwenye pundamilia na kumuua kabisa, lakini Wanachadema hawaongelei kabisa unyama huu wamekomaa na suala la Lisu tu. Jamani tuelezeeni kesi inaendeleaje? Nijuavyo mimi kwenye Zebra crossing ukigonga ni jera tu. Mbona huyu jamaa yuko nje?
 
Sugu alimgonga na gari mtoto Yatima tena kwenye pundamilia na kumuua kabisa, lakini Wanachadema hawaongelei kabisa unyama huu wamekomaa na suala la Lisu tu. Jamani tuelezeeni kesi inaendeleaje? Nijuavyo mimi kwenye Zebra crossing ukigonga ni jera tu. Mbona huyu jamaa yuko nje?
HAO WAMEZOE KUONGELEA MATATIZO YA WENZAO
 
Wanajua kupinga tu. Sasa wakimpinga Sugu watakuwa wanajipinga wenyewe. Na huu uzi watauona kama jela hivi.
Mkuu nadhani sinema zenu za arusha umeziona....mmewapa watu mpunga waje wachereheshe shughuli jukwaani ....rais anamuuliza gambo wale watu wakowapi ???? anajibu wamegoma...jamaa anatukana : wapumbafu kabisa....
# kula ccm kulala ukawa...somo limewaingia...
 
sugu yupo mitandaon anapiga porojo na mzazi mwenzie faiza, mwanamke anachafua hali ya hewa mh mbunge anajitokeza kujisafisha, Mara ya mwisho ilikua ada ya mtoto, watu wa mbeya walikosea sna
Kama tulivyokosea kumpa nyampara nchi kwa miaka mitanooo....
 
Back
Top Bottom