Hivi suala la kutoa ushirikiano katika kufanya tendo la ndoa ni la nani hasa kati ya mwanamke au mwanaume? Ni nani anatakiwa ajitume zaidi?

Applicant

JF-Expert Member
Feb 12, 2020
1,962
1,746
Wanawake wamekua wakilalamika kwamba kwasasa wanaume tumekua hatuperfom vizuri kwenye mechi zetu, wamekua wakituita vibamia, hatuwarizishi, wanawake wengine wakaenda mbali zaidi wakadai kwamba Kwasasa mwanamke kufikishwa kileleni ni Nadra sana kwani wanaume tumekua magoigoi.

Wanaume vile vile tumekua tukiwalalamikia baadhi ya wanawake kua hawana ufundi kabisa, yaani gogo kabisa, sasa nani anatakiwa kushughulika zaidi katika mtanange??

Kwa upande wangu naona wanawake ndio wanatakiwa wapekeche sana, yaani wakatike sanaaa maana tunawahudumia na tunawapa vitu wanavyotaka, yaani mimi kweli nakutumia nauli unakuja, nakununulia chakula unachotaka unakula, vinywaji unakunywa na baada ya hapo nakupa pocket money si chini ya laki halafu eti mimi ndio niwe mkatikaji mkuu?? Hapana aiseee!

Kwanza mi naona Kwenye mahusiano mwenye uwezo zaidi ndio anatakiwa ajitume zaidi, hata kama ni mwanaume huna pesa, unapewa kila kitu na mwanamke,hapo mwanaume ndio unatakiwa ushughulike haswaa!! Na kulalamika ulalamike wewe utoe milio yote maana wewe ni goalkeeper

Au wewe mdau unahisi nani anatakiwa ajitume zaidi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu acha dharau kabisaa. swala la jinsia halihusiani na uwezo. mm ni mwanaume napiga miti hata kama sina pesa na mwanamke anabaki pale pale na jinsia yake. ukifika kitandani ni mke mume vyeo, pesa, ajira na cv zako peleka mbali ndo utapata utamu wa mgegedo. unaleta mambo ya mafile kitandani ???
Wanawake wamekua wakilalamika kwamba kwasasa wanaume tumekua hatuperfom vizuri kwenye mechi zetu, wamekua wakituita vibamia, hatuwarizishi, wanawake wengine wakaenda mbali zaidi wakadai kwamba Kwasasa mwanamke kufikishwa kileleni ni Nadra sana kwani wanaume tumekua magoigoi.

Wanaume vile vile tumekua tukiwalalamikia baadhi ya wanawake kua hawana ufundi kabisa, yaani gogo kabisa, sasa nani anatakiwa kushughulika zaidi katika mtanange??

Kwa upande wangu naona wanawake ndio wanatakiwa wapekeche sana, yaani wakatike sanaaa maana tunawahudumia na tunawapa vitu wanavyotaka, yaani mimi kweli nakutumia nauli unakuja, nakununulia chakula unachotaka unakula, vinywaji unakunywa na baada ya hapo nakupa pocket money si chini ya laki halafu eti mimi ndio niwe mkatikaji mkuu?? Hapana aiseee!

Kwanza mi naona Kwenye mahusiano mwenye uwezo zaidi ndio anatakiwa ajitume zaidi, hata kama ni mwanaume huna pesa, unapewa kila kitu na mwanamke,hapo mwanaume ndio unatakiwa ushughulike haswaa!! Na kulalamika ulalamike wewe utoe milio yote maana wewe ni goalkeeper

Au wewe mdau unahisi nani anatakiwa ajitume zaidi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe mwanamke ndo unatakiwa utoe ushirikiano mkubwa maana unahudumiwa kila kitu kwa mujibu wa maelezo yako, kama sijaelewa vizuri nieleweshe
 
Mademu wa sikuhizi hamna kitu kwa bed ni wazembee sana wanashindwa na wazee.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Write your reply...ushirikiano wa nini nikisharidhika Mimi kidume inatosha kwakua sina attachment yeyote kwake siko sentimental nikishakula sibaki
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom