Hivi style gani ya mavazi wanawake mnavutiwa nayo kwa wanaume

Nakazia, naongezea wale wanaovaa sijui macheni makubwa wameyaning'ing'iniza au mipete ya ajabu. Mwanaume vaa saa tu inatosha kama ni pete basi iwe ya ndoa, kifupi sipendi mtu anaevaa pete kama urembo

Sent using Jamii Forums mobile app
Na mm nikazie, sipendi mwanaume muda wote unamkuta na open shoes,. Na hayo machen Chen Yao siyapendi hawajuagi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mavazi mazuri ya heshima...iwe jeans surual ya kitambaa poa tu ili mradi iwe ya heshima,vaa uwe smart sio unavaa Kama kibaka

Sipendi mwanaume anaevaa suruali za kutoboka mapajani na magotini utadhani suruali imeliwa na panya...nikiomuona mtu wa hivyo moja kwa moja namdefine vibaya

Kuna wale wanavaa kaptula.,pensi sijui
Yaani unakuta mtu amevaa iko kikaptula kipoo juuu juu huku magoti na mapaja yapo wazi...Mwanaume wa hivyo hapana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahyo hizi Jeans zangu zilizochanika magotini nizitupe???au nigawe!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom