Hivi Story Ya Faru John Ndo Ilizikwa Kaburi Gani Ili Ifufuliwe?

G4rpolitics

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
4,335
5,184
Kabla hatujafka zile siku tatu tulizoahidiwa kuwa kutakuwa na mrejesho wa kilichojiri kwa Mo, inawezekana hatujui kuhesabu ingawa hata president alisema watz siyo wajinga hizo siku najua bado deadline ijo mbali ila huyu Faru John naye hatujasahau mrejesho wake!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom