Hivi Starehe hasa katika nchi za kiarabu ni zipi kama hawana hivi?

Azarel

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
28,405
39,467
Habarini Wadau,

Sijawahi kufika katika nchi za kiarabu haswa, namaanisha nchi kama Saudi Arabia, Yemen, Iran,Iraq, Morocco n.k

ILA, niliwahi kuambiwa mara kwa mara kuwa nchi nyingi za kiarabu zinakuwa na pesa nyingi za mafuta kwani huwa hawaspend pesa zao katika:-


◆ Kuimport Wines hasa za Russia katika nchi zao.

◆ Hawana Night clubs na zinapigwa marufuku kabisa

◆ Huko hakuna wanawake wanaojiuza mitaani ili kununuliwa na kutumiwa.

◆ Hakuna bar

◆ sidhani kama wana fukwe, na kama wanazo wanawake wataenda huko na Hijab kweli? Kwakuwa hawaruhusiwi kubaki na vyupi

◆ Michezo ya Wanawake kama Tenis hakuna kutokana na nguo zivaliwazo

◆ Hakuna mashindano ya walimbwende zaidi ya yale ya juzi juzi ya kuvaa hijab hivyo hata kuona umbile la mwanamke iwe mtaani au stejini hakuna.

Je Starehe huko Uarabuni ni kuwa na wake wengi tu na kupikiwa chakula chenye nakshi nakshi?

Kuna starehe gani tena huko hasa kwa Wanawake wa kiarabu?

Wanatumiaje pesa zao kujistarehesha?

Msaada Tafadhali.
 
Starehe zipo, Malaya wapo mpaka wa Kiarabu wenyewe, Night Club zipo, starehe zote zipo mpaka Unga!

isipokua kila kitu kina mpangilio wake, sio kama Bongo kila baada ya nyumba Bar, all in all kama unaishi Arabic countries like Gulf countries Na ukasema uishi Kama unaishi Bongo, Ile ukitoka mzigoni unafikia Corner Bar, baadaye uondoke Na Malaya, week end Club, kwa siku unamaliza 1 Million ya Kibongo.
 
Starehe zipo kila aina ila wao nchi zao ni jangwa muda msingi wa shopping na market ni usiku kuliko mchana ndio unaona kama hamna starehe lkn wametuzi wao wanastarehe kuliko bongo
Nikitaka totoz wa kiarabu wa kununua...ile one night stand nawapata mtaani?
 
Back
Top Bottom