G M S
JF-Expert Member
- Mar 30, 2011
- 502
- 53
Samahani wadau naomba kujua ktk mwili chanzo cha kamasi na makoozi ni nini? Kipindi mtu anamafua na kamasi zinaongezeka kwa nin? Na makoozi yanatoka wapi?
Je, mtu anayekuwa na makoozi mara kwa mara(kwa kubanja) kwanini? na inakuaje mtu ana anakohoa makoozi yenye chembechembe za damu?
Nawasilisha.
Je, mtu anayekuwa na makoozi mara kwa mara(kwa kubanja) kwanini? na inakuaje mtu ana anakohoa makoozi yenye chembechembe za damu?
Nawasilisha.