Hivi sisi watanzania wezanzangu nani katuroga?

PAMBA1

Member
Sep 13, 2011
55
26
Najaribu kutafakari mambo ya msingi yaliyokuwa yanatakiwa kupatiwa majibu na serikali yetu lakini mpaka sasa hakuna majibu wala hakuna wa kuyakumbushia tena.mfano rais alikuwa amejiwekea utaratibu wa kuongea na wananchi live kupitia tbc tv na radio na akaahidi kuwa angeingia hata mitaani akataja mtaa wa rumumba ndo angeanzia hapo.lakini mpaka sasa nikimia vip idala ya habari ya ikulu,mkumbusheni rais ahadi yake hiyo raia tunamsubili kwa hamu sana au mpaka tuongee na ridhiwani akamkumbushe?na kama hana muda mbona muda wa kwenda nje anao? kingine swala la mswada wa katiba lililetwa kwa mbwembwe sana na wadau mbali mbali wakaanza kufanya makongamano kila leo ya katiba mfano ukumbi wa nkuruma pale UDSM prf shivji na dr kitira mkumbo walikuwa wanafanya mambo mazuri sana ya kujadili katiba tunayoitaka na pia kurushwa live na ITV na radio one watanzania wengi walikuwa wanapata ufahamu wa kuelewa nini maana ya katiba.lakini mambo ya msingi kama hayo leo yamesahaulika na zinaibuka hoja ambazo hazisaidii watanzania zinashikiwa bango sana na serikali kama DC kuvuliwa hijabu na kikombe cha babu.jamani watanzania wenzangu ndizo hoja za tanzania tunayoitaka? hebu tufatilie msitakali wa nchi yetu kwanza.naelewa kwenye harakati ya ukombozi kunazaliwa mashujaa na wasariti tusiwakubali wanaotaka kuziua hoja za msingi na kutuletea hoja za propaganda.wananchi tunamtaka rais tukutane naye rumumba kunamambo tunataka kuongea naye na ajibu maswali yetu,maanake ikulu kumpata ni ngumu aweza akawa safari jamani mpangieni rais ratiba ya kutuona wananchi wake na ndo lilikuwa lengo lake. Rweyemamu umenisoma!
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom