Hivi sisi wabongo ni lini tutakuwa watu?

nzalendo

JF-Expert Member
May 26, 2009
11,726
12,003
Kuna msemo wa kiswahili unasema Binadamu si watu
Hapan shaka walimaanisha MTU ni kiumbe chenye utashi.
Sasa kwa sisi wabongo nina shaka sana kama UTU wetu ni sahihi,manake mambo tuyafanyayo hayafanani na binadamu wengine katika sayari hii.
Basi kwa uchungu nilio nao nasindikiza ujumbe huu na ngoma hii
NINA SHAKA SANA.

 
Back
Top Bottom