Hivi sisi tunaovaaga macheni makubwa sana ya Silva na tuna madread marefu tunaajiriwaga wapi?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,730
155,414
Unakutana mtaani na Braza Baba Swalehe, ni kweli msomi, amefuzu, amebobea, ila ana madread marefu, bracelet kubwa ya silver, bonge la chain kifuani, tatoo hadi kwenye kidole cha uchaguzi.

Ana gari zake tatu, ana mke mzuri, nyumba kali prime area, watoto wanasoma Braiburn, na mwingine Tanganyika International.

Asubuhi hutoka kwenda kazini, jumamosi ni mapumziko na jumapili.
Pia huwa na likizo ya siku ishirini na nane.

Tatua kitendawili
 
Kuna kazi hata za utumishi wa uma. Zina watu wa aina hizo.

Niliwahi kuona marastafali udsm.. katika department ya creative arts... na wanavitambulisho vya udsm staff, pia tbc katika staff wao wa graphics .. yupo rastafali

Private sector ndio usiseme maana wanaangalia talent tu ya mfanyakazi na jinsi anavyozalisha.. marasta yako hawayajali katika kukuajiri

International school of Tanganyika na hizo shule ulizozitaja zina marasta pia kibao pia zimewaajiri na zinawalipa vizuri tu
 
Hao hua ni makada wa CCM,ndio wanaoenjoy ma V8 na wakina Polepole.
 
UDSM kuna mtu namwonaga, pia kuna polisi Oysterbay na yeye ana marasta. Ila huyo jamaa kuna siku anaweza kupata madhara kwa kudhaniwa ni jambazi coz huwa anatembea na bunduki huku akiwa na mwonekano wa jamaica.
 
Unakutana mtaani na Braza Baba Swalehe, ni kweli msomi, amefuzu, amebobea, ila ana madread marefu, bracelet kubwa ya silver, bonge la chain kifuani, tatoo hadi kwenye kidole cha uchaguzi.
Ana gari zake tatu, ana mke mzuri, nyumba kali prime area, watoto wanasoma Braiburn, na mwingine Tanganyika International
Asubuhi hutoka kwenda kazini, jumamosi ni mapumziko na jumapili.
Pia huwa na likizo ya siku ishirini na nane.
Tatua kitendawili
Simpo. Ni Freemason njomba huyo.
 
UDSM kuna mtu namwonaga, pia kuna polisi Oysterbay na yeye ana marasta. Ila huyo jamaa kuna siku anaweza kupata madhara kwa kudhaniwa ni jambazi coz huwa anatembea na bunduki huku akiwa na mwonekano wa jamaica.
Kwanini anabebaga machine gun? Kwani pistol ni bidhaa adimu?
 
Unakutana mtaani na Braza Baba Swalehe, ni kweli msomi, amefuzu, amebobea, ila ana madread marefu, bracelet kubwa ya silver, bonge la chain kifuani, tatoo hadi kwenye kidole cha uchaguzi.

Ana gari zake tatu, ana mke mzuri, nyumba kali prime area, watoto wanasoma Braiburn, na mwingine Tanganyika International.

Asubuhi hutoka kwenda kazini, jumamosi ni mapumziko na jumapili.
Pia huwa na likizo ya siku ishirini na nane.

Tatua kitendawili
Muuza unga, mshirika wa Ridhiwani na Kinjeketile
 
Back
Top Bottom