Hivi sisi tuliofeli katika maisha huwa tumekosea wapi, na tufanye nini kujiokoa?

Kuna machaguzi tulifanya na hayakua sahihi na zaidi sana haya machaguzi ni kwenye elimu.

Unakuta taasisi inaoffer vacancies zaidi ya 300 halafu kozi yako haijaguswa popote. Ajira portal hawajaweka chochote cha kozi yako unaenda mwaka wa pili sasa.
 
Mkuu ukiona hupati pesa hiyo maana yake ujuzi au Skills ulizonazo nizakiwango cha chini.

Jifunze Skills mpya zinazohitajika kwenye real world ili upate pesa.

Kwa kuanza anza na hizi.

1 • communication skills

2 • Persuasion

3 • Selling

Ukiwa na hizo skills 3 utaanza kuelewa jinsi yakutengeneza pesa anywhere anytime.
 
Hii ni kweli kabisa na ndo linalo wakumba watu wengi sana.
 
Mkuu ukiona hupati pesa hiyo maana yake ujuzi au Skills ulizonazo nizakiwango cha chini.

Jifunze Skills mpya zinazohitajika kwenye real world ili upate pesa...
Tatizo izo skills ata shuleni hawafundishi 🤣🤣🤣....Tena Apo kwenye persuasion watu wakiambiwa wasome vitabu wanaona utani back kwa mtoa mada. komaa baharia...badilisha marafiki na mazingira.
 
Tatizo izo skills ata shuleni hawafundishi ....Tena Apo kwenye persuasion watu wakiambiwa wasome vitabu wanaona utani.......back kwa mtoa mada......komaa baharia...badilisha marafiki na mazingira.....

Ndiyo hivyo mkuu,

Communication skills + persuasion + selling hizi ni Skills za muhimu sana

Vile watu hawajui tu.

Mimi sijawahi pata college degree lakini nafundisha wanafunzi wanasoma Harvard

Wala sijisifii.

Kabla ya hapo nilikuwa mjinga tu sifahamu namna gani ninaweza kujifunza kuwasiliana kwa usahihi + kujaribu kushawishi watu wakubaliane na idea zangu + kuuza.

Sisemi ni rahisi lakini inawezekana sana tu.

Ukishidwa kutengeneza at least $300+ kwa mwezi kwenye hii dunia ya teknolojia sijui utaweza wapi tena.

Cheers
 
Kama kichwa habari kinavyojielezea hivi sisi tuliofeli katika maisha ni wapi tuliopokosea.

Na nini cha kufanya kutoka katika shimo hili maana umri unasonga bado tupo shimoni.
Ni vizuri uwe unabadilisha gia unapogundua kuwa huku niliko vitu vinakataa,kulazimisha kwenye baadhi ya vitu huwa kunasaidia ingawa sio mara zote.Cha kufanya ni kutafuta jambo lingine ili uweze kupambana kuweza kukufikisha kwenye au karibu na ndoto zako za maisha maana maisha bila ya kuwa na ndoto huwezi fika popote...
 
Hapa ndo penyewee ndugu yaan kwenye 1na 2 wengi tunakwama sana sana sana sana! unaweza kuwa na pesa au ujuzi na ukatumika vibaya.
Mkuu ukiona hupati pesa hiyo maana yake ujuzi au Skills ulizonazo nizakiwango cha chini.

Jifunze Skills mpya zinazohitajika kwenye real world ili upate pesa.

Kwa kuanza anza na hizi.

1 • communication skills

2 • Persuasion

3 • Selling

Ukiwa na hizo skills 3 utaanza kuelewa jinsi yakutengeneza pesa anywhere anytime.
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom