Hivi sisi tuliofeli katika maisha huwa tumekosea wapi, na tufanye nini kujiokoa?

Endelea kumuomba Mungu huku ukiamini katika kesho

Liverpool imesubiri zaidi ya miaka 30 kubeba taji la EPl

Mzee wa KFC alisubiri mpaka kwenye 60's ndio akafanikiwa

Amini katika kesho mzee umri ni namba tu
Leeds imesubiri miaka 16 kurudi EPL.
 
Back
Top Bottom