Hivi sisi ni masikini?

Jidu

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
1,232
754
Wakati tukikumbwa na matatizo kila kukicha na pia kuwa na mpango wa kupunguza matumizi ya serikali ili kuyapeleka kwenye mambo muhimu.Serikali sikivu ipo mbioni au imeshanunua jumba la kifahari lenye thamani ya tsh.billioni 16.7(us dollar 1.26 million)tena nyumba ya kuishi familia moja tu!hivi tunakwenda wapi jamani!

Tanzanian mission buys Great Neck house

Wednesday August 17, 2011 11:59 AM By Ann Smukler

image.JPG


Photo credit: Kevin P Coughlin

Orly Hollander of Laffey Fine Homes can now add the United Republic of Tanzania to her list of buyers. She was the listing agent on a Great Neck center hall Colonial that recently sold to the Tanzanian mission for $1.26 million, according to the Long Island Real Estate Report.

How different was the experience for Hollander? She needed the U.S. Department of State to OK it. "This is the first deal I ever did where I needed the government's approval," Hollander says. She adds the home is for the family of an attaché with four children.

The home has five bedrooms, four bathrooms and an open floor plan. The master bedroom has a bath with a Jacuzzi and shower. A two-car garage is attached. The deal closed at the end of June, according to public records.

The State Department statement indicated that requiring government approval is standard practice and in accordance with the Foreign Missions Act. Any foreign mission is required to obtain the U.S. Secretary of State's approval before any acquisition, sale or disposition of real estate is completed.

The statement says there is usually no impact to a community from the presence of a diplomatic residence, and, yes, the State Department has turned down applications in the past.

By the way, the Tanzanian government will be coughing up $22,093.66 a year for property taxes (or almost 36 million Tanzanian shillings).
 
We mtoa maada unamaana gani kutoa mada hii. Yaani unataka kulinganisha maisha yetu na ya Gadafi?. maana juzi tu wametoa picha za gadafi home kwake.
 
Jamani tz siyo masikini kwani tuna malighafi za kutosha tatizo hatuna vionguzi watakaoweza kuwaelekeza watu namna ya kutumia malighafi zinazowazunguka kwahiyo tatizo siyo malighafi tatizo ni usimamizi mbovu wa matumizi ya rasilimali za uma.labda kwa nia njema tu kwakua mjomba kayuongoza huu ni mwaka wa 50 sasa with nothing nafikiri ni wakati wa yeye kuachia dola tuwape wengine atleast miaka 10 tuone kama kuna mabadiliko
 
Jamani tz siyo masikini kwani tuna malighafi za kutosha tatizo hatuna vionguzi watakaoweza kuwaelekeza watu namna ya kutumia malighafi zinazowazunguka kwahiyo tatizo siyo malighafi tatizo ni usimamizi mbovu wa matumizi ya rasilimali za uma.labda kwa nia njema tu kwakua mjomba kayuongoza huu ni mwaka wa 50 sasa with nothing nafikiri ni wakati wa yeye kuachia dola tuwape wengine atleast miaka 10 tuone kama kuna mabadiliko

mi ningependa watanzania tupende maendeleo tusisubiri seriakli ifanye. Mfano ukisikia mtwara wanachi wanadai seriakli iwapelekee mashine za kubangua korosho wewe utaona ni tatizo au fursa, sumbawanga wanalalamika wahidni hayana soko tsh 20000 kwa gunia, pamba ya mwanza yaoza hakuna wateja, mashamba hayaendelezwi, shule hazina madawati na wakati wewe fundi seremala, eti wanafunzi wanafeli huku wewe mwalimu etc etc. hawa viongozi watajua wanaongoza watu unless wakiona si makondoo ni kutburuza kwenda mbele. Tusisubiri ya L...ya
 
Back
Top Bottom