HIVI sio CHILD ABUSE?

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
1,225Katibu wa Itikadi na Uenezi wa NEC CCM Nape Nnauye na Katibu Mwenezi wa chama hicho Mwigulu Nchemba wakirejea jukwaani mara baada ya kuwatunza watoto hao Nyambuli na Gozbert wakati wakicheza ngoma katika maadhimisho ya miaka 51 ya Uhuru wa Tanzania Bara kwenye uwanja wa Uhuru.Mtoto Gozbert Bwere (3) akionyesha uwezo wake katika kupiga ngoma huku akiwa amelala chini katika maadhimisho hayo.Mtoto Gozbert Bwere (3) akifanya vitu vyake katika kupiga ngoma katika maadhimisho hayo.
 

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
1,225
Kweli CCM inavyofanya HIVI sio CHILD ABUSE??? Wanaletwa toka MUSOMA bila Wazazi WAO; Kuwafurahisha HAO WALAFI wa CCM?
 

Concrete

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
3,605
0
Nape na Mwigulu ni wapenda sifa sana siku zote watataka kuuza sura tu, wanaiga mtindo wa bosi wao Mkwele.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom