Hivi simu za kichina zinatumia os gani? mbona hakuna app zake? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi simu za kichina zinatumia os gani? mbona hakuna app zake?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by elmagnifico, Aug 22, 2011.

 1. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  Wadau hivi simu za kichina zinatumia os gani maana simu nyingi nikiangalia kwa makini naona os zake ziko sawa utofauti wake ni umbo tu na programs zake pia znafanana. Mimi nahc labda zinatumia os aina moja hizo simu za kichina. Nyie wataalam wa kudevelop apps kwanini msitengeneza apps za simu za kichina ili wenye kutumia michina wapate kufaidi. Si mkiwauzia hizo apps mtapata ela jaman. Watu wenye michina wanataman opera min, fbuk apps, games na apps nyingne lakini ndiyo ivyo sijaona any developer doing that.
   
 2. wijei

  wijei JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 469
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Misimu yenyewe internal memory 10kb hizo application utazirun kwenye memory ipi?
   
 3. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  Mbona windows mobile unaweza run application from memo stick a
   
 4. l

  lulenganija603 Member

  #4
  Aug 22, 2011
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 99
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 15
  <br />
  <br />
  mkuu kale ka thread ketu ka jana umekaweka kapuni? Nisaidie jinc ya kuhack net kwenye simu!
   
 5. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #5
  Aug 22, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  Mimi sija hack net mkuu ila nahc tatzo liko kwenye setting zao that's y natumia internet bure. Lakini navyojua ukichange ip address na proxy unaweza bahatka uka access bure ebu try
   
 6. Kibukuasili

  Kibukuasili JF-Expert Member

  #6
  Aug 22, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 858
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  &#24265;&#20729;&#29986;&#21697;&#27794;&#26377;&#25805;&#20316;&#31995;&#32113;&#19968;&#27171;&#22909;&#29986;&#21697;
   
 7. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #7
  Aug 22, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,776
  Likes Received: 7,094
  Trophy Points: 280
  hey magnifico mimi si programer but one day nlisearch sana ili niweze eka game kwenye simu ya kichina then nkapata fununu kua zile simu zinasupport NES

  NES ni opperating system ya nintendo zipo nyingi sema wao wachina wana old one zile za game 1 kb 16.

  Na kama utakua mtumiaji mzuri wa simu za kichina kuna simu nyingi ukienda kwenye game unakutana na hiki kitu NES but ukiopen unaambiwa empty that mean ni kama emulator watakiwa ufeel rooms za nes

  kaka haya ndo nnayoyajua kama kuna mwengine atujuze, search vizuri google utapata iformation zaidi
   
Loading...