Hivi Siku Hizi Shule Hazifundishi Punctuation na Singular/Plural | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Siku Hizi Shule Hazifundishi Punctuation na Singular/Plural

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Ruge Opinion, Jan 27, 2011.

 1. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,692
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  Nimekuwa na kazi ya kusoma ripoti mbali mbali zilizoandikwa katika lugha ya Kiingereza. Kuna mambo mawili ambayo nimeyaona katika ripoti nyingi. La kwanza ni kutotumia alama za vituo kama coma, colons, semi-colons,nk. Mtu anaandika paragraph yenye mistari zaidi ya kumi lakini hakuna kituo hata kimoja. Baadhi hata full stop za mwisho wa sentensi hawaweki.

  La pili ni kutojua kutumia umoja na wingi (singular and plural). Unakutana na vitu kama many house, 500 student, monies, we are implementing eight project, nk. Baadhi ya hizi ripoti zimeandikwa na watu wazito kwenye wizara za serikali na taasisi zingine.

  Swali langu ni je, mambo ya punctuation na umoja na wingi siku hizi havifundishwi shuleni?
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Nimewahi kukutana na lecturer check bob mmoja chuo kikuu kimoja hapa nchini akawa anatuambia kwamba kwenye mtihani andika as much as you can, point atatafuta mwenyewe humo! Sasa kwa mtindo huo unadhani kuna mtu atakaye angalia punctuation wakati vijana wanataka kufaulu tu!
   
 3. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  watangazaji wetu clouds wanaita "hii nyimbo" ni kali instead of wimbo!!
   
Loading...