Hivi sheria za usalama barabarani inawahusu kina nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi sheria za usalama barabarani inawahusu kina nani?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Master jay, Aug 4, 2012.

 1. Master jay

  Master jay Senior Member

  #1
  Aug 4, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 187
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  baadhi ya magari ya maaskari na ya serikali ni mabovu sana na yakipita hayasimamishwi. Lakini pita na gari lako lina kreki ya kioo kwa mbaali, atataka akupeleke kituon, lakini ya kina nanihi hata kama halina taa za ishara hayasimamishwi. Hv sheria za usalama barabarani zinawahusu walalahoi tu, kina flan haziwahusu???????????????????
   
Loading...