Hivi sheria za mitandao watu kama hawa huwa haiwaoni!?

B.4really

Senior Member
Jan 30, 2013
199
89
Hivi huu ulimbukeni wa huyu mwanamziki sijui msanii wa bongo fleva kuposti picha ya noti ya Tsh 10000 ikiwa imechanwa vipandevipande kwenye mtandao wa kijamii ndio kuudhihirishia umma kwamba nchi hii pesa zake hazina uangalizi makini!?
 

Attachments

  • 1450956311749.jpg
    1450956311749.jpg
    48.2 KB · Views: 306
kwanza ni dharau iliyopitiliza kwa Ela yetu. Serikali ichukue hatua kali kwa wavuta bangi kama hawa. Wanao dharau utanzania na kutukuza umagharibi.
 
Duh hatari.
Ila katazo lipo la kisheria sasa tatizo ni adhabu yake!! Adhabu sawa na bure!

Hata konda kugonga gonga hela eti anakusanya nauli ni tatzo kwa kuwa wanazichakaza na kuharibu muundo wa koini ...vyoote ivi vinakatazwa!!
 
Back
Top Bottom