Hivi sheria ya mtandao inatumika hata kwa post za miaka kabla sheria haijatungwa?

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,944
18,652
Wanajamvi naomba kuuliza.

Hivi hii sheria ya makosa ya mtandao (cyber crime) inaweza kutumika kwa content ambazo zilipostiwa kwenye mitandao ya kijamii kabla sheria haijaanza kutumika.

Kwa mfano. Humu kunapost ambazo zilimvua nguo Mweshimiwa flani ambaye leo ni kiongozi mkubwa.

Najiuliza kama endapo akiziona si atatumia hii sheria kudeal nao?
 
Back
Top Bottom