Hivi sheria mpya ya ndoa inahusisha wanachuo kupewa mimba?

lup

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
2,514
2,732
Za asubuhu jamani,

Baada ya bunge kupitisha marekebisho ya sheria ya ndoa na uzazi hasa kwa wanafunzi wote na wenye umri chini ya miaka 17 kwa mabinti na ikitokea ukampa mimba mwanafunzi kifungo ni miaka 30.

Sasa nauliza na kama msichana ni mwanachuo chochote na ametimiza miaka 18, nikampiga mimba akiwa chuo bado sheria itanifunga?Au ni kwa wale wa madarasa ya chini tu?
 
Kama umeshaelewa kuwa haipaswi kumpa ujauzito

"Mwanafunzi mwenye umri wa miaka 17 na chini hapo" na adhabu ni kutumikia kifungo cha miaka 30 jela,

Sasa yanini kuongelea tena habari ya Mwanachuo above 18 yrs?
 
Inategemeana na chuo anachosoma. Vingine havina limit kivilee...alafu sheria inasema ni kwa below 18... Huyo wako katimiza 18 shida IPO wapi???

Alafu unataka kummimbisha umeshamuoa???

Mwanafunzi .... From std 1-7, from form one to six.... Epukana nao....na under 18 wote ....kwanini hupendi kutii ssheria na taratibu??? Paka kutafuta loopholes za sheria???
 
Unaongelea vyuo vya tourism na hotel management?

Kama ni University kule hata uwape mimba darasa zima hamna wa kukushitaki. Wakijuana na utakoma watavyoanza kukuzodoa
 
Back
Top Bottom