Hivi sheria inasemaje kuhusu hizi pikipiki zenye kupiga kelele kupita kiasi?

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,886
Kuna hizi pikipiki wanasema zimepasuka/wamepasua 'eksozi' zinapiga kelele za kukera sana. Hivi hakuna sheria ya mazingira kuzuia hii kitu?
 
Nafikiri ata sheria zipo ili zivunjwe acha wajiachie tu na sheria mwisho wa siku zitawashughulikia
 
Back
Top Bottom