Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,782
Kwa maana habari zote nizisikiazo kuhusu SGR ya Kenya ni kuhusu watu kwenda kutalii Mombasa, lkn sijawahi kusikia Wakenya wa kawaida wakiongelea kupanda SGR kama usasfiri wa kawaida badala ya mabasi, Je niko sawa kwa kufikiri hivyo au ni mimi tu kwamba siyo kweli, SGR inatumiwa na watu wa kawaida kila siku badala au sawa na mabasi?