Hivi SGR ya Kenya ni kwa ajili ya Watalii au Wakenya wa kawaida?

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,782
Kwa maana habari zote nizisikiazo kuhusu SGR ya Kenya ni kuhusu watu kwenda kutalii Mombasa, lkn sijawahi kusikia Wakenya wa kawaida wakiongelea kupanda SGR kama usasfiri wa kawaida badala ya mabasi, Je niko sawa kwa kufikiri hivyo au ni mimi tu kwamba siyo kweli, SGR inatumiwa na watu wa kawaida kila siku badala au sawa na mabasi?
 
Mwaka jana kufikia Novemba abiria wa SGR walikua wamefikia milioni mbili, hiyo itakua idadi kubwa sana ya watalii.
 
Kwa maana habari zote nizisikiazo kuhusu SGR ya Kenya ni kuhusu watu kwenda kutalii Mombasa, lkn sijawahi kusikia Wakenya wa kawaida wakiongelea kupanda SGR kama usasfiri wa kawaida badala ya mabasi, Je niko sawa kwa kufikiri hivyo au ni mimi tu kwamba siyo kweli, SGR inatumiwa na watu wa kawaida kila siku badala au sawa na mabasi?
Ukisema watu wa Kawaida unamaanisha nini? Manake mimi navyojua watalii wa ndani kwa ndani (yaani wakenya) wamefika 4 million kwa mwaka, sana sana wale walio Nairobi hua ikifika ijumaa wanahama nairobi na kwenda Kujivinjari Machakos, Nakuru na miji miengine, Wanaamkia Jumamosi huko na hangover, wanatafuta BnB wanakodisha na kulala alafu baadae ikifikaa jioni wanaingia ma club, mikahawa na kuanza tena hadi asubuhi ya jumapili ndo warudi Nairobi kupumzika na kujitayarisha kwenda kazini Juma Tatu...
Tangu SGR ianze kufanya kazi, Hawa jamaa walipata mtindo mpya, siku hizi ukijaribu ku book SGR usitubuthu ku book Fri,Sat,Sun manake itakua nafasi zote zishachukuliwa, jamaa hua wanabook kwenda Mombasa ijumaa au juma mosi kujivinjari , hawa ndo tunawaita "watalii" manake hata kule mombasa sikuhizi wanajulikana mpaka hoteli za Mombasa ziko na bei yao spesheli wanabook hotel kwa masaa kadhaa ya kulala, kula na swiming pool.. Pia hua wanakodisha/rent magari ya watu binafsi kwahivyo wale wenye magari na hawayatumii sana hua wanapata biashara...

-----------
Tourism Cabinet Secretary Najib Balala says the growth was supported by a 9.8 percent growth in total international arrivals which jumped to 1.474 million arrivals compared to 1.342 million arrivals in 2016.
The growth of the sector was supported by the domestic tourist segment which grew bed nights to 4 million in 2017 from 3.4 million in 2016, with the ministry attributing the growth to increased promotion of domestic tourism by the government.
Tourism sector grows by 20pc in election year to net Sh120b - Capital Business
 
Asante kwa maelezo mazuri, kwa maana huwa tu nasikia kila waongeleapo SGR wanahusisha na Utalii, lkn sijawahi kusikia Wajenya wa kawaida ambao kabla ya SGR walisafiri kwa mabasi kwenda Mombasa na miji mingine ambayo SGR inapita kwa shughuli mbali mbali za kila siku kama biashara n.k. , hivyo nilipenda kujua kama SGR pia inatumiwa na watu aina hiyo pia kwa wingi au ni wale wa kula raha tu i.e Watalii, lkn nimepata mwanga kutokana na maelezo yako.
 
Kuna wakati flani Meeneja wa Eenglish Point Hotel alisema kua ikifika Weekend 95% ya watalii wanaobook hoteli ni wakenya, na hayo yote yalianza kufanyika baada ya SGR

We are appealing to Kenyans, especially in the coming August holidays, to take advantage of the SGR services and tour the coast," the Severin Sea Lodge sales and marketing manager, Caroline Ndirangu, said.
The English Point sales account manager, Julia Karanja, said local visitors account for 95 per cent of the total bed occupancy at the hotel. "We have witnessed positive increase in the number of the local tourists in our facility. We get a lot of transfers from the Mombasa Railways' terminus at Miritini, mostly towards weekends," she said.
Good times: SGR pushes domestic tourists to the Coast : The Standard

According to the report, Mombasa received 24 percent of all domestic tourists in 2017, up from 16 percent in the previous year largely due to the operationalization of the SGR passenger service between Nairobi and Mombasa.
New report credits Kenya's SGR with boosting domestic tourism - Xinhua | English.news.cn
 
Inategemea na kiwango au class, kiwango cha chini ni Kshs 1,000 Angalia kwenye tovuti yao Madaraka Express - Travel Kenya - Online Booking
Kawaida kwa bus huwa kati ya 1,200 had 1,600
Alafu mabasi yenyewe na nauli zao ambazo ni za juu zaidi ya treni za SGR zinatumia muda karibia mara mbili ya treni za SGR kufika Mombasa. Ukiabiri treni za SGR baada ya masaa manne tu umeshafika Mombasani.
 
Mleta mada, hata cargo, mizigo pia ambayo ndio ilikuwa lengo kuu la SGR huwa ni ya 'watalii' wa kibiashara. Sijui unamaanishaje ukisema watalii. Utalii sio kwa wageni tu, au wazungu. Jinasue kutoka kwa mtego wa minyororo ya kiakili, ya kikoloni.
 
Ni 4 hrs and 30 mins mpaka 5 hrs, acha kutuchota.

Sent using Jamii Forums mobile app
4hrs, 4.5, sidhani hilo ni jambo la kubishania. Mabasi yanachukua muda karibia mara mbili ya treni za SGR tena kwa nauli ya juu zaidi au na hilo pia utabisha? Kumbuka kuabiri basi lenye 'comfort' ya ziada kama la treni ya SGR inamaanisha kwamba nauli pia itakuwa ya juu zaidi. Alafu kuna view moja babkubwa kwenye mbuga za wanyama ambazo treni za SGR zinapita. Need I say more?
 
Huko una enda mbali mimi nime rekebisha ulipo sema masaa manne tu! huo ni uongo. Minimum time train yenu inaeza tumia Msa-Nai ni 4:30 hrs.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Passanger trains make between 1500 and 2500 loss per passager per trip.
The break even charges envisioned were
Economy: 2500
First clasz: 4500
Its a loss and nothing to be proud of.
The accumulated loss is 10bn per year not counting the ticket theft by chinese (1 million per day)
 
Kile nachojua tu ni kwamba SGR ya Danganyika itakuwa ni snake of the museum,,i wouldn't be surprised to see it carry chicken,charcoal and firewood to and fro dar is a slum
 
Kwa maana habari zote nizisikiazo kuhusu SGR ya Kenya ni kuhusu watu kwenda kutalii Mombasa, lkn sijawahi kusikia Wakenya wa kawaida wakiongelea kupanda SGR kama usasfiri wa kawaida badala ya mabasi, Je niko sawa kwa kufikiri hivyo au ni mimi tu kwamba siyo kweli, SGR inatumiwa na watu wa kawaida kila siku badala au sawa na mabasi?

Hivi ukaskia wapi 'Wakenya wakawaida' hawawezi kuwa watalii?
Mombasa is a tourist town. Wengi wa hawa watalii ni Wakenya. (domestic tourists).
 
Passanger trains make between 1500 and 2500 loss per passager per trip.
The break even charges envisioned were
Economy: 2500
First clasz: 4500
Its a loss and nothing to be proud of.
The accumulated loss is 10bn per year not counting the ticket theft by chinese (1 million per day)

Thika road has been making losses since day one. Your point?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom