kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 14,075
- 15,912
Ufipa kuna daftari la matusi!Miezi 8 uliokaa burigi naona hata akili zimebadilika umekuwa kama wenyeji wa burigi

Kwa sasa ufipa ndio tegemeo pekee lililobakia kwa watanzania.Ufipa kuna daftari la matusi!
Hawa jamaa wa CCM wanapenda kutawala kupita kiasi, lakini performance yao ni ndogo kupita maelezo
Huwa wanapenda kujilinganisha na chama cha Kikomunisti cha China, lakini wenzao huko China wameshafanikiwa kusolve tatizo la vitu basic kama maji na umeme na sasa wanajiposition kuwa superpower wa dunia, CCM yenyewe hata ishu ya madawati wameshindwa kusolve miaka yote hii ya kuwa madarakani.
Leo hii Nchi imekauka kaukau, maji hakuna, umeme wenyewe ni wa mgao. Nchi ina maziwa makubwa mengi na mito lukuki lakini serikali za CCM zimeshindwa kusolve hizi ishu.
Sasa kitu gani CCM wanachojua?
1. Wanajua kucontrol mass ya wananchi, kuwapumbaza, kuwalaghai na kufanya uzandiki
2. Wanajua kumbambikizia watu kesi za kisiasa, kutumia dola ili kubaki madarakani
3. Wanajua kufanya ubadhirifu na kutumbua pesa za umma, safari zisizo na tija, kupeana vyeo serikalini kutokana na koo, angalia wanavyogawiana nafasi kutokana na kuwa huyu ni mtoto wa fulani alikuwa na cheo fulani zamani
4. Mipango mibovu, na priorities feki
Leo unaenda kununua midege wakati watu hawana maji ya kunywa ya uhakika, shule hazitoshi, umeme siyo wa uhakika. Hata hiyo Stieglers ikikamilika, megawatts 2000 bado ni peanut, nilitegemea kuona tunaanza projects leo za kuzalisha megawatts kuanzia 10000 na kuendelea
Tatizo kuu la CCM ni Low IQ
Wenzao wa chama cha kikomunisti wanachukua wanachama based on merits, na watu wenye merits wana IQ nzuri. Sasa CCM inachukua watu kutokana na uwezo wao wa kusifu na kujipendekeza au uwezo wao w kumtukana Mbowe, What do you expect?
Hawa Low IQs wataifikisha nchi wapi
Hawaongozi Kwa sababu ya IQ Yao. Wanaongoza sababu ya TEUZI Tu. Ndungai ana IQ? Nijibu.Acha kujadili CCM na Serikali kwa ujumla. Halafu ni Tanzania nzima haina maji? Yes tuna vyanzo vingi tunahitaji kuvitumia kuzalisha maji, ila unapojenga hoja usijumlishe taasisi nzima na kubeza wana CCM au watendaji wote wa Serikali. Wapo watu wana IQ kubwa ndiyo maana wanaongoza nchi.
Mwenye shibe hamjui mwenye njaa na ndo tatizo la ccm miaka 60 ya uhuru sehemu ya kilomita 5 kutoka ziwani mnashindwa kupeleka majiPole sana kamanda kwa umasikini.
Ila maboss zako kina Mbowe, Msigwa, Sugu, John Heche, Mnyika na Lissu wao siyo masikini tena chini ya utawala huuu huu wa CCM.
Wanakula mema ya nchi.
Akili kichwani. Wewe utabaki kutumika kwenye maandamano tu na kutukana mitandaoni.
Kama wenye IQ kubwa wameshindwa unaonaje tukiwajaribu wenye IQ ndogoAcha kujadili CCM na Serikali kwa ujumla. Halafu ni Tanzania nzima haina maji? Yes tuna vyanzo vingi tunahitaji kuvitumia kuzalisha maji, ila unapojenga hoja usijumlishe taasisi nzima na kubeza wana CCM au watendaji wote wa Serikali. Wapo watu wana IQ kubwa ndiyo maana wanaongoza nchi.
Hawa jamaa wa CCM wanapenda kutawala kupita kiasi, lakini performance yao ni ndogo kupita maelezo
Huwa wanapenda kujilinganisha na chama cha Kikomunisti cha China, lakini wenzao huko China wameshafanikiwa kusolve tatizo la vitu basic kama maji na umeme na sasa wanajiposition kuwa superpower wa dunia, CCM yenyewe hata ishu ya madawati wameshindwa kusolve miaka yote hii ya kuwa madarakani.
Leo hii Nchi imekauka kaukau, maji hakuna, umeme wenyewe ni wa mgao. Nchi ina maziwa makubwa mengi na mito lukuki lakini serikali za CCM zimeshindwa kusolve hizi ishu.
Sasa kitu gani CCM wanachojua?
1. Wanajua kucontrol mass ya wananchi, kuwapumbaza, kuwalaghai na kufanya uzandiki
2. Wanajua kumbambikizia watu kesi za kisiasa, kutumia dola ili kubaki madarakani
3. Wanajua kufanya ubadhirifu na kutumbua pesa za umma, safari zisizo na tija, kupeana vyeo serikalini kutokana na koo, angalia wanavyogawiana nafasi kutokana na kuwa huyu ni mtoto wa fulani alikuwa na cheo fulani zamani
4. Mipango mibovu, na priorities feki
Leo unaenda kununua midege wakati watu hawana maji ya kunywa ya uhakika, shule hazitoshi, umeme siyo wa uhakika. Hata hiyo Stieglers ikikamilika, megawatts 2000 bado ni peanut, nilitegemea kuona tunaanza projects leo za kuzalisha megawatts kuanzia 10000 na kuendelea
Tatizo kuu la CCM ni Low IQ
Wenzao wa chama cha kikomunisti wanachukua wanachama based on merits, na watu wenye merits wana IQ nzuri. Sasa CCM inachukua watu kutokana na uwezo wao wa kusifu na kujipendekeza au uwezo wao w kumtukana Mbowe, What do you expect?
Hawa Low IQs wataifikisha nchi wapi
Siyo wana CCM wote sasa wamepewa nafasi. Wapo vijana wana IQ kubwa tu hawajapata nafasi. Ndiyo maana nikasema si sahihi kutoa lawama za jumla. Kwa Serikali au CCM. Kuwa specific tatizo liko wapi.Hawaongozi Kwa sababu ya IQ Yao. Wanaongoza sababu ya TEUZI Tu. Ndungai ana IQ? Nijibu.
Angalia usije kupakatwa na hao jamaaPole sana kamanda kwa umasikini.