Wewe uko pamoja na Mimi. Kungwkuwa na wagombea binafsi,ningeringa Sana.Hii itasaidia sana kupunguza ushabiki wa vyama. Kuna watu kama sisi hatupendi vyama vyote vilivyopo nchini lakini tungependa kuwapigia kura wagombea binafsi.
Wewe uko pamoja na Mimi. Kungwkuwa na wagombea binafsi,ningeringa Sana.
Hawa jamaa wa CCM wanapenda kutawala kupita kiasi, lakini performance yao ni ndogo kupita maelezo
Huwa wanapenda kujilinganisha na chama cha Kikomunisti cha China, lakini wenzao huko China wameshafanikiwa kusolve tatizo la vitu basic kama maji na umeme na sasa wanajiposition kuwa superpower wa dunia, CCM yenyewe hata ishu ya madawati wameshindwa kusolve miaka yote hii ya kuwa madarakani.
Leo hii Nchi imekauka kaukau, maji hakuna, umeme wenyewe ni wa mgao. Nchi ina maziwa makubwa mengi na mito lukuki lakini serikali za CCM zimeshindwa kusolve hizi ishu.
Sasa kitu gani CCM wanachojua?
1. Wanajua kucontrol mass ya wananchi, kuwapumbaza, kuwalaghai na kufanya uzandiki
2. Wanajua kumbambikizia watu kesi za kisiasa, kutumia dola ili kubaki madarakani
3. Wanajua kufanya ubadhirifu na kutumbua pesa za umma, safari zisizo na tija, kupeana vyeo serikalini kutokana na koo, angalia wanavyogawiana nafasi kutokana na kuwa huyu ni mtoto wa fulani alikuwa na cheo fulani zamani
4. Mipango mibovu, na priorities feki
Leo unaenda kununua midege wakati watu hawana maji ya kunywa ya uhakika, shule hazitoshi, umeme siyo wa uhakika. Hata hiyo Stieglers ikikamilika, megawatts 2000 bado ni peanut, nilitegemea kuona tunaanza projects leo za kuzalisha megawatts kuanzia 10000 na kuendelea
Tatizo kuu la CCM ni Low IQ
Wenzao wa chama cha kikomunisti wanachukua wanachama based on merits, na watu wenye merits wana IQ nzuri. Sasa CCM inachukua watu kutokana na uwezo wao wa kusifu na kujipendekeza au uwezo wao w kumtukana Mbowe, What do you expect?
Hawa Low IQs wataifikisha nchi wapi
Mungu ndiye ajuaye!Kila anayekufa siyo kwamba anastahili kuombewa maana kuna wengine walikuwa na roho za kisheitwan
Mungu yupi huyo wa lumumba au wa Mbinguni?Mungu ndiye ajuaye!
Muda utaongea kumbe bosi na mfadhili wao yupo ufipa!Sema Gaidi Hamza mwana ccm
Kwahiyo na wewe upo ufipa?Muda utaongea kumbe bosi na mfadhili wao yupo ufipa!
Mimi nipo shamba!Kwahiyo na wewe upo ufipa?
Koromitje au burigi?Mimi nipo shamba!
Huyo unamuamini wewe!Mungu yupi huyo wa lumumba au wa Mbinguni?
Na wewe ulimuamini yupi wa lumumba au wa Mbinguni?
Lini umewacha kumuamini?Huyo unamuamini wewe!
Hale mwakinyumbi!Koromitje au burigi?
Hiyo ndiyo maana ya burigi?Hale mwakinyumbi!
Kipara kipyaaa. Uko Soga boy au Sukumagang? Nikufahamu SASA.au Chagadema? Jitambulishe.Kwahiyo na wewe upo ufipa?
CC:kipara kipyaKipara kipyaaa. Uko Sofa boy au Sukumagang? Nikufahamu SASA.ai Chadema? Jitambulishe.
Utajuwaje nawe ukitoka ni nyuma ya pick up kwenda kununua pumba shemeji akifurahi anakuachia guta siku hiyo linatembea kwa matairi matatu!Hiyo ndiyo maana ya burigi?
Miezi 8 uliokaa burigi naona hata akili zimebadilika umekuwa kama wenyeji wa burigiUtajuwaje nawe ukitoka ni nyuma ya pick up kwenda kununua pumba shemeji akifurahi anakuachia guta siku hiyo linatembea kwa matairi matatu!
Mmawiya kumbe wewe Nusu dengu Nusu Dona.kumbe kichwa I zimepuruka. Yaonyesha wewe unatetea Maisha yaleo. Hujali vijukuu vyako hapo baadae. Tunaangalia mustakabali wakesho yetu. HAO ulio watajua NI wapambanaji WA Maisha ya wajao. Hawajigikirii Leo yetu. Amakweli Leo ndo nayasadiki maneno ya wahenga,,,Pole sana kamanda kwa umasikini.
Ila maboss zako kina Mbowe, Msigwa, Sugu, John Heche, Mnyika na Lissu wao siyo masikini tena chini ya utawala huuu huu wa CCM.
Wanakula mema ya nchi.
Akili kichwani. Wewe utabaki kutumika kwenye maandamano tu na kutukana mitandaoni.