Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,690
- 239,250
Ninamaanisha wale ambao wanalipwa mishahara kutoka kwenye mfuko wa serikali na ambao wanaifanyia kazi serikali hii moja kwa moja.
Najua kuna makampuni mengi ya binafsi ambayo yanasukuma mbele gurudumu la maendeleo ya nchi hii ikiwemo kampuni yangu pia, lakini hapa namaanisha wale wanaojiita wafanyakazi wa serikali kama vile walimu , madaktari , askari wote nk.
Lengo langu ni kutaka kujua kama hii kodi yao wanayolipa inao mchango kiasi gani kwenye maendeleo ya nchi hii kiasi mpaka serikali ikaamua kuwasamehe tsh 1100 tu badala ya angalau 5000.
Ni hilo tu wakuu wangu .