Hivi Serikali ya Myanmar Waislamu wa Rohingya kosa lao hasa nini?

Mkuu labda km hujanielewa
Fatilia mgogogoro huo haujaanza Leo

Hao waislam uko Myanmar ndio chanzo cha matatizo

Wamewakuta wabudha na utamaduni wao wa kuabudu ng'ombe km mungu wao ila wao wanaua wale ngombe

Sasa unafkiri nini kitatokea

Sawa na hapa watu wasio waislam waende kubomoa misikit unafkir hali itakuaje

Halafu unatabia ya Ku mpriempty mtu yaan we unajiweka kwenye kundi la wanaojua
Hivi huo ndo usomi wako? Acha paniki za kitoto

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Chakushangaza hatujasikia waislam wa India wafanyiwe fujo ingawa wanakula ng'ombe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom