technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,434
- 50,739
Nape Nauye ameshaijibu na kuikosoa mara mbili serikali wakati akiwa ndani ya serikali tena kwenye kitengo cha mwisho cha maamuzi yaanu baraza la mawaziri.
Mwakembe vile vile kashakosolewa na Rais kwa maamuzi yake kutenguliwa.
sis tulizoea kulia lia kwa wapinzani sasa ni mpaka mawaziri
sasa hivi tumetoka huko sasa tupo kwa kiwango cha mawaziri kuisoma namba.
Mbowe kapiga kimya,Lowassa kimya mawaziri ndio wanaijibu serikali patamu hapo wacha twende hivyo hivyo.
tukitoka hapo tukumbuke maneno ya the genius Tundu Lissu kuwa kila mtu atafikiwa kwa wakati wake.
Kama namuona vile mzee Pengo na Mashelk.
Tulieni tunyooshe nchi.