Hivi serikali inawaachaje waliobomolewa nyumba zao, bomoabomoa?

K 4 LIFE

JF-Expert Member
Jul 21, 2015
2,567
416
Wakuu,

Watu wengi wameathirika na hii bomoabomoa hasa kule bonde la msimbazi, watu hawana pakulala na mbaya zaidi sikukuu hizi hapa zimefika,

Je, Serikali inawafiriaje hawa wahanga?

Watapewa msaada au watapelekwa magwepande?

Wenye taarifa zaidi njooni
 
Back
Top Bottom