Hivi, serikali inatambua uwepo wa utitiri wa wa-Sri Lanka jijini Dar? Kwa gia ya printing services?

Asa'rile

JF-Expert Member
Jun 29, 2012
438
120
Wanachokifanya sasa hivi hawa wa Sri lanka, ni kualikana, wanaitana kila kukicha.
Fani yao kubwa ni, ma graphic designers, na pre press, pia ni mabingwa wa printing na kutengeneza film
za kutolea matangazo.nk
Tunachoikumbusha Serikali yetu, na hasa usalama wa raia; waachane na kuwabana UKAWA tu kwa sasa
waliangalie suala hili pamoja na utitiri mwingine wa wasomali wamiminikao nchini.
Serikali ya nchi ya Sri Lanka, imewatimua nchini humo waasi wajulikanao kama TAMIL TIGERS,
Na wengi wa waasi hao wamekimbilia nchi za Afrika (na miongoni mwao ni watu wenye taaluma zao)
Tanzania Watch Out ! hawa wa-sri lanka ni hatari kama wasomali
 
Mkuu hawa kuna jamaa wanawaleta.
Waliwahi kukamatwa Wafilipino fulani hivi kwa issue kama hizi.

Kuna Wabongo ndio dili zao kuwaleta hawa jamaa.
Halafu wanachofanya ni kwamba mmoja mmoja akipata kazi yakuajiriwa anasepa.So,hizo dili ni kama kituo.
Wengi wao ni wenye taaluma mbalimbali
 
Kama mtakumbuka kuna Kipindi walikamtwa Wanajeshi fulani kamasikosei ni Wa Ufilipino vile au Sri lanka hapa nchini kwa style kwamba wameletwa na mtu aliewaahidi kazi
 
Hawa mida yao ya kutembea ni usiku,na ni rahisi sana kuwakamata usiku.
 
Code:
Hawa mida yao ya kutembea ni usiku,na ni rahisi sana kuwakamata usiku.

kweli, na mitaa wanayotembelea sana ili kutafuna kuku nyakati za usiku, ni pale Calfornia dreamer casino,
Jamhuri na zanaki sreets, JM Mall pale chini kwenye kamari.
Je sio Waasi wa TAMIL TIGERS hawa?
 
  • Thanks
Reactions: G3T
Sasa nyie ndio immigration au? fanyeni kutafuta maisha ya family zenu achane maneno maneno
 
Sasa nyie ndio immigration au? fanyeni kutafuta maisha ya family zenu achane maneno maneno

We utakuwa Mhindi tu, nchi ni ya kwetu Watanzania!! Jukumu la ulinzi ni la kila Mtanzania, so wacha watu waseme uhamiaji hata humu wanapita sana!!
 
Waacheni watumie fursa, nyinyi mmelegea kazi hamtaki, mnataka maisha ya mteremko tu, wavivu, vijana wote mnataka kuwa bongo movie na waimba bongo fleva,
Mmekuwa watumwa wa siasa na upuuzi wa kila aina, wao wameona fursa ambazo nyinyi mnazichezea,
Naomba wahamie wote kabisa labda mtaamka usingizini wazee wa kulia lia tu
 
We utakuwa Mhindi tu, nchi ni ya kwetu Watanzania!! Jukumu la ulinzi ni la kila Mtanzania, so wacha watu waseme uhamiaji hata humu wanapita sana!!

Ww wacha ujinga ww mwenyewe ukijichungunza unaweza kuwa sio mtanzania kabisa unajua baba kazaliwa wapi? Hebu fanya research ujitambue kwanza
 
Kuna migahawa yao ya indoors.
Usiku kwa usiku.
Sijui kama uhamiaji wanaijua au wanaenda kisha qanapewa kitu bili!
 
Umeanza vizuri lakini ulipoingiza Ukawa umeleta matapishi yanayonuka,thread yako haina maana tena
 
Kama mtakumbuka kuna Kipindi walikamtwa Wanajeshi fulani kamasikosei ni Wa Ufilipino vile au Sri lanka hapa nchini kwa style kwamba wameletwa na mtu aliewaahidi kazi

Jamaa walikuwa wa Nepal, mshkaji aliewaleta ananyea debe sa ivi kila mmoja alichajiwa dola 5000 anatafutiwa hadi ajira
 
Jukumu la kulinda nchi yetu ni letu sote ila rushwa inakatisha tamaa jamani. Siku ambapo serikali itakuja kustuka na kuanza kamata kamata ya raia wasio na uhalali wa kuishi nchini itakuwa too late. Na wanakuja kimkakati na kuoa binti za kitanzania ili tu waweze kumiliki ardhi hapa kwetu.
 
Hivi mpaka wananchi wanaona tatizo hili serikali imelala au imeenda likizo? usalama wa taifa, police, uhamiaji wako wap?
 
Back
Top Bottom