HAPA SITAKI VYA PM WALA NAMBA NATAKA NIGUSE MASLAHI YA VIGOGO!
Ndg zangu ktk Jf wote mmekuwa mkisikia juu ya mbolea ya MINJINGU.
Kitaalam hakuna mbolea iitwayo Minjingu; hili ni jina la kijiji inapochimbwa.
Naomba nisieleze mengi bali niwape assignment kwa kuwa wote tunatumia mtandao (internet) basi twende polepole katika hili.
1. Minjingu kitaalam inaitwa ROCK PHOSPHATE (PHOSPHATE ROCK) mbolea hii kitaalam na kupitia tafiti mbolea zote zenye asili ya rock phosphate zina Radioactive elements.These are heavy metals, e.g. cadmium (Cd), chromium (Cr), mercury (Hg) and lead (Pb), and radioactive elements, e.g. uranium (U), that are considered to be toxic to human and animal health. Ingia google.com tafuta rock phosphate utajifunza na kugundua mengi! Sasa leo hii serikali imeipitisha kutumika nchi nzima!
2. Hizi element ni hatari kwa afya ya watu! Kuna fununu kuwa kiwanda kile cha minjingu ni mradi wa wakubwa ndo maana hili halizungumziwi. Watz tutaangamia.
Tafadhali hapa ukijulikana utapotea ghafla cha muhimu ulizeni watu wa utafiti juu ya hili! Sasa nashindwa kujua kwa nini wasiweke wazi kazi zao za utafiti juu ya mbolea hii?
3. Au basi watueleze asilimia (Percentage) ya Kila element ktk mbolea hii! Awali tumepiga kelele angalau watueleze % ya Phosphate katika Mbolea hii sasa hivi wameamua kuandika tu kwenye makaratasi wala hamna provu ya hiyo %.
Huu si umbeya atakaye bisha aweke prove hapa na mimi nitaleta document hapa itakayo umbua vyote!
Chemical analysis of potentially hazardous elements in sedimentary phosphate rocks
HIVI NANI MWENYE JUKUMU LA KUWALINDA WATANZANIA?

Country | Deposit | Reactivity | P[SUB]2[/SUB]O[SUB]5[/SUB] (%) | As | Cd | Cr (mg/kg) | Pb | Se | Hg (µg/kg) | U (mg/kg) | V |
Algeria | Djebel Onk | High | 29.3 | 6 | 13 | 174 | 3 | 3 | 61 | 25 | 41 |
Burkina Faso | Kodjari | Low | 25.4 | 6 | <2 | 29 | <2 | 2 | 90 | 84 | 63 |
China | Kaiyang | Low | 35.9 | 9 | <2 | 18 | 6 | 2 | 209 | 31 | 8 |
India | Mussoorie | Low | 25.0 | 79 | 8 | 56 | 25 | 5 | 1 672 | 26 | 117 |
Jordan | El Hassa | Medium | 31.7 | 5 | 4 | 127 | 2 | 3 | 48 | 54 | 81 |
Mali | Tilemsi | Medium | 28.8 | 11 | 8 | 23 | 20 | 5 | 20 | 123 | 52 |
Morocco | Khouribga | Medium | 33.4 | 13 | 3 | 188 | 2 | 4 | 566 | 82 | 106 |
Niger | Parc W | Low | 33.5 | 4 | <2 | 49 | 8 | <2 | 99 | 65 | 6 |
Peru | Sechura | High | 29.3 | 30 | 11 | 128 | 8 | 5 | 118 | 47 | 54 |
Senegal | Taiba | Low | 36.9 | 4 | 87 | 140 | 2 | 5 | 270 | 64 | 237 |
Syrian Arab Republic | Khneifiss | Medium | 31.9 | 4 | 3 | 105 | 3 | 5 | 28 | 75 | 140 |
United Republic of Tanzania | Minjingu | High | 28.6 | 8 | 1 | 16 | 2 | 3 | 40 | 390 | 42 |
Togo | Hahotoe | Low | 36.5 | 14 | 48 | 101 | 8 | 5 | 129 | 77 | 60 |
Tunisia | Gafsa | High | 29.2 | 5 | 34 | 144 | 4 | 9 | 144 | 12 | 27 |
United States of America | Central Florida | Medium | 31.0 | 6 | 6 | 37 | 9 | 3 | 371 | 59 | 63 |
United States of America | North Carolina | High | 29.9 | 13 | 33 | 129 | 3 | 5 | 146 | 41 | 19 |
Venezuela | Riecito | Low |