Hivi Serikali hii ya Awamu ya 5 imeshindwa kweli kumshika na kumshtaki mtu anayeitwa Kigogo2014?

Status
Not open for further replies.
"Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha".Ni lazima tujifunze kuheshimiana na kutii mamlaka.Kwani kigogo yuko wapi? Wenye akili wameshamjua...
Yule mwana harakati huru mbna ashamlipua kigogo ni Nani naona kamtaja hadi Jina au syo yeye
Savimbi Jr
mm sijamjua maana Mwanahrakati sasa katuchanganya au yeye kachandanyikiwa
unajua leo ni mara ya ngapi anawataja watu kibao kwenye hiyo clip ya video hapo chini
 
Wakuu Salaam;

Wapo watu wengi wameshikwa na kupelekwa mahakamani kwa makosa mbalimbali ya kimtandao.

Juzi kadakwa Idriss na hakieleweki hadi saivi, shauri lake linasoma ni makosa ya mtandaoni.

Waandishi wa Habari, Viongozi wa vyama vya upinzani imekua ni rahisi sana kuwaita kituoni na kuwapeleka mahakamani ikibidi pale ambapo wanaandika maudhui ya aina fulani mtandaoni. Hali hii imefanya pia wengine kupata kesi zilizobadilisha taswira ya siasa kutokana na hukumu zilizotolewa kwa wahusika.

Hali ni tofauti kwa mtu anayejiita Kigogo2014 anayetumia mtandao wa Twitter sana kuposti mambo mbalimbali, mengine yana kejeli kwa Mkuu wa nchi na sekta mbalimbali na hata viongozi husika.

Juzi kadakwa Mdude, na pia alishawahi shikwa na kuteseka kisa ishu ileile ya maudhui mtandaoni na hili kila mtu anakumbuka.

Mifano iko mingi kwa viongozi wa siasa hasa wa vyama vya upinzani waliopata kesi hizo.

Kwanini hii awamu ya 5 ya JPM isiojaribiwa kama anavyosema iliyopitisha sheria kuhusu matumizi ya mtandao imeshindwa kumshika mtu anayeitwa Kigogo2014 ilihali inaweza shika wengine kirahis tu?
hii serikali c inabeza mabeberu
 
Vipi kigogo wenu yukwapi??????? Hahahahaha... kwisha habari yake.. wanaume washafanya yao... pumbavvvv.... hahahahaha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom