LAPF walikuwa wanalipwa miezi 2 kabla ya kustaafu akaingia mkuu wa malaika akavunja vunja matokeo yake imebaki NSSF na PSSF sijui ni hatari sna
Mimi mzazi wangu alistaafu enzi za kikwete december 31, 2015, imagine alistaafu december, january PPF walimlipa pensheni, na march 2016 , PPF wakamlipa lumpsum yake.. yaani fasta fasta ba hakuwai fatilia popote.. alikuwa ndani tu , ila malipo hayakuchelewa...nashangaa sijui nini kimetokea zama hizi