mtafiti05
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 956
- 593
Toka upungufu wa watumishi ktk kada mbalimbali kuongezeka baada ya ktolewa kwa report 1 UHAKIKI vyeti fake, je najiulza hv serikali inafkr nn kuzba pengo la watumishi hasa ktk kada nyeti kama afya?
Miez 2 sasa imepita toka waondolewe vyeti fake je nafasi zao znazibwa na hewa? Kama zahanati znabakiwa na medical atendat na serikali inajua haya na imekaa kimya maana yake nini?
Serikali inaona sifa kuombwa kibali cha dharula kuajiri hawa wataalamu? Kiukweli wahuska ifke mahali muone aibu na muweke pembeni siasa ktk mambo ya maisha ya watu,
Note, mmekalia kujfanya mnahakik kila muda, tunataka Huduma na sio siasa zenu za kikikikikiki! Wahusika muache matukio badala yake mtoe Huduma!